Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,943
- 6,863
Bachelor of Science in Mechanical Engineering Design kutoka Ujerumani? Wameteleza au nini?
Amandla.........
Amandla.........
Bachelor of Science in Mechanical Engineering Design kutoka Ujerumani? Wameteleza au nini?
Amandla.........
unakuwa ujui mambo ya barrier to entry kwenye biashara ndugu yangu
wakati wa mafruki anaanza haikuwa global economy, hawakushindanishwa na watu kutoka nje thanks to nyerere
sasa hivi mtaji ni shida sana ndugu yangu kwa ajili unashindana na watu kutoka sehemu mbalimbali duniani na wenye mitaji mikubwa
mimi sio muoga ila ninakuambia matatizo yaliyoko sasa hivi...
Ndo wamejenga Infotech Place pale Old Bagamoyo sio?
Infotech Place is one of the Infotech Investment Group Real Estate development projects. Other development projects in the Groups new and expanding Real Estate portfolio include the Infotech Plaza building in Geita, Tanzania as well as other projects currently on the drawing board.
Nasikia Ujerumani wanatoa Dip.Ing. sio B.Sc.
Amandla......
Hivi huyu naye hayumo kule kwenye ile list? ............... I smell sth!!! Endeleeni kuchangia atatokea mtu na datas tu mda si mrefu.
Mkewe mwenye asili ya Somalia ndio BRAIN behind the success; hata hivyo huyu bwana ana uhusiano mkubwa na Rostam Aziz mpaka wote wakawa shareholders wa magazeti ya Nation ya Kenya pamoja na Ruhinda. Kuchaguliwa kwake kuwa BOT board member ni katika mbinu za kufunika uozo na uvundo a' la EPA na especially kuhusu TWIN TOWERS usitoke tena toka BOT; kumbuka aliteuliwa Meghji akiwa waziri wa fedha!!!
Nafikiri wengi wetu kinachoturudisha nyuma ni kukosa uthubutu, na hasa ni kwa sie wajaariwa. Unaanza kuhesabu risk weeeee, mpaka jua linazama unabaki kujiambia kesho, which never comes!
Na Simbanet piaDuuuu...pia nadhani ni board member wa BoT
Mdau Semilong, si vizuri kuongea mambo personal ya watu hapa,lakini let me tell you in general mambo matatu:kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi
Check your facts mkuu, hii sio kweliMkewe mwenye asili ya Somalia ndio BRAIN behind the success; ...
Hii nayo sio kweli, labda nyepesinyepesi tu.Jamaa inasemekana kule kwao Mwanza walikuwa na eneo kubwa lina madini nayo inawezekana kuwa chanzo cha utajiri alionao. Ardhi hiyo iko mikononi mwa wawekezaji on terms. Thats what I heard!
Check your facts mkuu, hii sio kweli
Hii nayo sio kweli, labda nyepesinyepesi tu.
Vijana fanyeni kazi, visingizio havitatusaidia kupiga hatua mbele. Bwana Ali ni inspiration kwa vijana wanaojaribu kuwa enterprenuers na wala hakufanikiwa kwa sababu ya political connections bali wamekuwa wakimteua kwenye hizo BOARD wakati tayari amefanikiwa.
Nyeti mpya nimezipata sasa hivi "Cash machine" kwenye miradi yake mingi kama sio yote ni YOWERI KAGUTA MUSEVENI.....mwenyewe anabisha atokee.Hizi ni nyeti za ndani kabisa na nizamotomoto hata hazijapoa bado.