Ali Mufuruki: Chairman and CEO Infotech Investment Group

Kwenye elimu wahaya walitusua aisee.
  • Mufuruki na wahaya wote hoyeee...jamaa mufuruki yuko njema Sana, na ni mtu wa watu sana na ana Upendo . mama yake kafaid sana life la mwanae hapa dar. Hongera mama mufuruki, kwa malezi mazuri ya mwanao.
  • Ila kwenye mambo ya IT yuko njema sana
 
Is Africa really "rising" | Ali Mufuruki | TEDxEuston
323,783 views

Published on 30 Dec 2014
This talk was given at a local TEDx event, produced independently of the TED Conferences. Is Africa really "rising"

ALI A. MUFURUKI :
holds a B.Sc.in Mechanical Eng. Design from the Reutlingen University, Germany, 1986. He was a Member of the Board of Directors of the Tanzania Central Bank, Member of the Board Directors Technoserve, Inc. of Washington, DC and Board Member of Nation Media Group of Kenya .He currently serves as Chairman of the Board Wananchi Group Holdings Kenya, Chairman of The CEOs’ Roundtable of Tanzania, Trustee–Mandela Institute of Development Studies (MINDS), Johannesburg, South Africa, Chairman of the Board of Chai Bora Ltd, Tanzania, Chairman of Muhimbili University (MUHAS) Grants Committee, Council Member of Dodoma University, Member of the Presidential Investors Roundtable of Uganda (PIRT), Member of the Tanzania National Business Council (TNBC), Member of the Advisory Group on Sub-Saharan Africa (AGSA) for the International Monetary Fund (IMF). He is a Henry Crown Fellow of The Aspen Institute Class of 2001 Founder and Chairman of The Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa. Mufuruki is married with four children.
Source : TEDx Talks

c.c Elli Mhariri Active Mod Mod Five
 
Mimi mwenyewe niliajiriwa miaka 2 tu sasa hivi nafanya mambo yangu mwenyewe vijana msilale nafasi kibao kazi kwako uwe na bidii ujiamini pamoja na ujuzi wa kutosh a

Hivi kwenye ID yako ukiandikiwa chini yake RIP wanamaanisha wewe (au mwenye ID kafariki) au iyo ID imepigwa ban la maisha ndio maana imeandikwa RIP?

Nimeona RIP chini ya ID ya mkuu niliemtag hapa juu.
 
Hivi kwenye ID yako ukiandikiwa chini yake RIP wanamaanisha wewe (au mwenye ID kafariki) au iyo ID imepigwa ban la maisha ndio maana imeandikwa RIP?

Nimeona RIP chini ya ID ya mkuu niliemtag hapa juu.

Huyo Mkuu nadhani ali RIP sometimes back. JF nadhani wana muenzi hivyo
 
kamaliza shule na kaanza 85 ame retire 89, hiyo ni miaka miwili.....
cha muhimu ni capital
na kadri miaka inavyozidi kwenda capital inayohitajika inakuwa kubwa zaidi
kumbuka yeye ameanza biashara 80's
na sasa hivi ushindani ni mkubwa zaidi
Ushindani ni mkubwa zaidi lakini kuna opportunities nyingi zaidi ya ilivyokuwa kwenye eighties.
 
Back
Top Bottom