Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,119
halafu hayupo jf id inaonyesha yupo insta anatukana wallah dume zima kuchambana insta sijui anatafuta nn #tushanyooka tayari
Kiukweli hapa napata picha halisi kuwa huyu dogo ni mshirikina kiasi gani...na naomba TEAMMONDI waje sasaivi kujibu jibu izi shutuma haraka na watuambie kabisa hapa huyu Mondi wao alikusudia nini kufanya hivi kama sio mshiirikina na hayo ndo masharti ya mgangà wake???...bhasi wakubali alikuwa yupo matangazoni kutafuta bwana...maana BIASHARA MATANGAZO BHANA!!!