Ali Kiba Fans' Special Thread...

Na huyu ni king wa tandale
cf42c7317d3d219f3cc204ba0874032e.jpg

Mambo vp jana ulienda kwny pilau la mashabiki wa kiba real fans anyone humu ndani najua hamna aliepata mwalikoz :D:D:D:D:D
 
Duuuh huyu jamaa anatisha..
Kiba bhana ni namba nyingine.
Yaani hapo ni live hamnag playback ila watu wame enjoy kinoma.
Sauti ya kiba ni nzuri sana na anajua kuitumia.
Akiendelea hivi atakuja kuwa msanii mkubwa aliyetoka kivyake yaan kwa stail yake.
 
Attachments

  • 1437906842590.jpg
    1437906842590.jpg
    49.2 KB · Views: 86
Duuuh huyu jamaa anatisha..
Kiba bhana ni namba nyingine.
Yaani hapo ni live hamnaga feedback ila watu wame enjoy kinoma.
Sauti ya kiba ni nzuri sana na anajua kuitumia.
Akiendelea hivi atakuja kuwa msanii mkubwa aliyetoka kivyake yaan kwa stail yake.

Live amna feedback kiba kweli hatareee :D:D:D
 
Ndio ukweli huo ata kamaa unaongea kinafiki ila kiba ana sauti nzuri na live anaimba vizuri sana.
Ana pumzi ya kutosha.
#say #no #to #unafiki
My dear, kwakua mimi ni muelewa najua matatizo ya hizi smart phone sometimes zinazingua.
Pale kwenye feedback nadhani ulimaanisha playback. ..
Sasa huyu mwanaume jina ndicho anachocheka!
Aibu sana kwa mwanaume anayevaa suruali kufanya mambo ya kipuuzi namna hii!
 
Hivi wewe nae unajiita mwanaume? Na hapo si ajabu una mwanamke au mke na familia ambaye nae anadhani ana mwanaume.
Acha huu upumbavu, act like a man.
Mwanaume wa ukweli hawezi fanya ujinga kama huu.

Ujinga ni upi hapo? Nisicheke kama kitu kimenifurahisha? Cna family am stl vry young ... smartphone iandike feedback badala ya playback kuanzia lini labda hujui words predictions hw it work kwenye keyboard naww.
 
My dear, kwakua mimi ni muelewa najua matatizo ya hizi smart phone sometimes zinazingua.
Pale kwenye feedback nadhani ulimaanisha playback. ..
Sasa huyu mwanaume jina ndicho anachocheka!
Aibu sana kwa mwanaume anayevaa suruali kufanya mambo ya kipuuzi namna hii!

Hahahaaa ila uzuri ni kwamba ameelewa.
Ndo maana ameweza kutofautisha kati ya play back na feed back.
Ngumu kumeza lakini avumilie tuu
 
Ujinga ni upi hapo? Nisicheke kama kitu kimenifurahisha? Cna family am stl vry young ... smartphone iandike feedback badala ya playback kuanzia lini labda hujui words predictions hw it work kwenye keyboard naww.

Kwenda zako huko na wewe, mpuuzi fulani tu...
Hata hivyo sina muda wa kupoteza kuargue na wewe...
Nina mengi ya kufanya.
 
Jionee utofauti...
Wakati King Kiba anafanya live music namna hii
e0ef69f97aa0121ba7fda581e5f548d8.jpg

Mwingine anafanya 'Live......' namna hii
7db5dc1ce281d3d59434b56d0f928151.jpg

Ni aibu kwa mtu anayejitambua kumshabikia mhuni kama huyu.
 
Hahahaaaa dear umeuaa.
Huyo mr icon anafanya live minenguo hagagagaaaa
 
Ninyi ndio mtakaommaliza Kiba kabisa, anaposoma comment kama hz likichwa linavimba anajiona yupo juu,
hakuna kitu kizuri kama kumpasulia mtu ukweli kuliko kumpa sifa za marehemu,
Kiba yuko vizuri ana talent ila ni bonge la mjeuri na mvivu wa kufa mtu... usisikie ya kuambiwa tafuta ukweli wake....yaani akiacha ujeuri na kuongeza bidii na ubunifu atakua moto wa kuotea mbali.

Ila kwa sasa Diamond Platinum yuko juu sana kwa Kiba,,, the boy has what it takes to be an International star!
lazima muelewe juhudi, kujituma na ubunifu ndio silaha ya kufanikiwa popote

Narudia tena kuweni wakweli ili mumbadilishe Kiba acheni kumsifia ujinga...kwa kufanya hivi mtaendelea kumfanya awe maarufu Tz na kwenye KTMA wakati huku sio ishu tena kwa mtu kama Ali na Nasibu ishu ni nje ya mipaka, huko hakuna mizengwe kama yetu hapa bongo

Angalieni ktk tuzo za MTV za juzi, hakuna fitna pale... na kila alieshiriki na kukosa au kupata tuzo kaondoka amerizika...no longolongo wala sijui teams...

ni uwezo halisi na ubunifu tu.

Le newspaper...
Mnakosea sana kumwongelea kiba na ndomo.
Kwani huwezi mshauri bila kumfananisha na domo?
Sisi tumemkubali hivyo hivyo
 
Kusanda kwa kitu gani hasa? Wewe una kitu gani cha kuogopwa?
Hehehehee...you are too low to argue with me ndio maana nimekupotezea tu mburula wewe.
Haya niko hapa sasa....naanzaje kuwapa salamu watu wangu wenye hadhi zao kutoka kwa popoma kama wewe?
Salamu wape hao vidampa wenzio sio kwa watu wenye hadhi walionizunguka.

Teh teh katka hao watu wenye hadhi uliokaa nao nahisi ndio kidampa katka wote.
 
Back
Top Bottom