Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

Status
Not open for further replies.
Revelation 12:12
Therefore you heavens rejoice, and all who reside in them! But woe to the earth and the sea because the devil has come down to you! He is filled with terrible anger, for he knows that he only has a little time!"

Surah Ibrahim.
22. And Shaitan (Satan) will say when the matter has been decided: "Verily, Allah promised you a promise of truth. And I too promised you, but I betrayed you. I had no authority over you except that I called you, so you responded to me. So blame me not, but blame yourselves. I cannot help you, nor can you help me. I deny your former act in associating me (Satan) as a partner with Allah (by obeying me in the life of the world). Verily, there is a painful torment for the Zalimun (polytheists and wrong-doers, etc.)."

Sheria zinatungwa na binadamu na binadamu wanaweza kucheza na sheria. Sio wote walioko mitaani ni wasafi, wengine wako mitaani kwa sababu sheria hazina macho.

Mungu ni mwanzo na mwisho. Maovu aliyokuwa anayapanga Lwakatare ni Mungu pekee anajua adhabu yake.

Last edited by a moderator:
Nawakumbusha wanasheria wa Lwakatare kui copy ile video ya Mwigulu Nchemba juu ya matamshi yake jana kuwa yeye ndiye aliyegharimia vifaa kwa ajili ya kuirekodi video ya Lwakatare, ni ushahidi muhimu pia kuisaidia mahakama kufikia uamuzi wa haki
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amesema atatoa ya moyoni siku ya Alhamisi.

Akizungumza na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi mara baada ya kupata dhamana aliomba subira kwa watanzania kwani anayo siri nzito moyoni.

Lwakatare alisema anawaomba waandishi wa habari watulie kwani anatarajiwa kuzungumza kwanza na viongozi wake wakuu wa chama na jopo la wanasheria wake nguli ndipo azungumze na dunia.

Wakati hayo yakiendelea mtandao wa You Tube unamuonyesha Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akitamba kwenye kampeni za udiwani Arusha kwamba ndiye aliyegharamia vifaa vyote vilivyotumika kumrekodi Lwakatare na hatimaye mateso yote yaliyomfika Lwakatare.

Viongozi wakuu wa Chadema tayari wameelezea furaha yao baada ya Lwakatare kupata dhamana.Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe yuko Dodoma katika vikao vya bunge wakati Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa yuko kwenye ziara ya kichama barani Ulaya.Katika salamu zake jana alizozitoa akiwa Ujerumani Dr Slaa alimpa pole Lwakatare na hapo hapo kuelezea furaha yake na ya watanzania wanaoishi Ujerumani kwa Lwakatare kupata dhamana na kuweza kuungana na familia yake tena baada ya mateso ya miezi mitatu.

Source:Tanzania Daima.
 
Jela inamsubiri na kwa muda huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.

Kwani Serikali ya CCM ni dhaifu kiasi cha kushindwa kulinda Raia wake wasingolewe Kucha na Kumwagiwa Tindikali?
 
Jaman wadau, watanzania wote tunao uhuru wa kutoa maoni, tusilumbane bure kuhusu Lwakatare, Suala la lwakatare liko kisiasa kwa asilimia nyingi, Lakini msisahau kuwa uchunguzi unaendelea na mbivu na mbichi zake zitajulikana, naamini uongozi wa chadema unafanya vyovyote wawezavyo kuhakikisha Mr Lwakatare anaondokana na shutuma hizi. Hadi sasa hatuna uhakika wowote so hatuna haja ya kurushiana vijembe as if tunao uhakika! Tumshukuru mungu amepewa dhamana na tuwaache wapeleleze!
 
Jaman wadau, watanzania wote tunao uhuru wa kutoa maoni, tusilumbane bure kuhusu Lwakatare, Suala la lwakatare liko kisiasa kwa asilimia nyingi, Lakini msisahau kuwa uchunguzi unaendelea na mbivu na mbichi zake zitajulikana, naamini uongozi wa chadema unafanya vyovyote wawezavyo kuhakikisha Mr Lwakatare anaondokana na shutuma hizi. Hadi sasa hatuna uhakika wowote so hatuna haja ya kurushiana vijembe as if tunao uhakika! Tumshukuru mungu amepewa dhamana na tuwaache wapeleleze!
 
Revelation 12:12
Therefore you heavens rejoice, and all who reside in them! But woe to the earth and the sea because the devil has come down to you! He is filled with terrible anger, for he knows that he only has a little time!"

Surah Ibrahim.
22. And Shaitan (Satan) will say when the matter has been decided: "Verily, Allah promised you a promise of truth. And I too promised you, but I betrayed you. I had no authority over you except that I called you, so you responded to me. So blame me not, but blame yourselves. I cannot help you, nor can you help me. I deny your former act in associating me (Satan) as a partner with Allah (by obeying me in the life of the world). Verily, there is a painful torment for the Zalimun (polytheists and wrong-doers, etc.)."

Sheria zinatungwa na binadamu na binadamu wanaweza kucheza na sheria. Sio wote walioko mitaani ni wasafi, wengine wako mitaani kwa sababu sheria hazina macho.

Mungu ni mwanzo na mwisho. Maovu aliyokuwa anayapanga Lwakatare ni Mungu pekee anajua adhabu yake.

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! kweli Lwakatare ni balaa aisee ! Hadi WAPAGANI wanakuja na vifungu !
 
Yaani mpaka waovu wanajifanya kufundisha maandiko matatifu.

Watu kama wewe nyakati zile mliitwa Mafarisayo na watoza ushuru.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom