Alexander Mnyeti kuburuzwa Mahakamani ni ushindi kwa wapenda haki Tanzania

Mtahangaika sana ila hakuna kitakachobadilika.

Na mjuwe live mnajiandalia kesho yenu ingine ya visasi.

Sababu utawala huo utabadilika na siyo kila atakayekuja atakuwa mshikiwa Remote kutoka Msoga Gang!

Mark my words!
Na muda ni Shahidi mzuri,sio kila amayekomolewa kwamba hana wanaouona huu ujimga unaoendelea.

Tena itakapowadia zamu yenu,itakuwa chungu sana.

Nimepita na sintamj8bu yeyote!
Masikini unaumia sana ukisikia wafuasi wa shetani lenu wanavyoshughulikiwa!

Yaani we ulitaka waachwe tu pamoja na ufedhuli wote wanaotuhumiwa nao....
 
Mtahangaika sana ila hakuna kitakachobadilika.

Na mjuwe live mnajiandalia kesho yenu ingine ya visasi.

Sababu utawala huo utabadilika na siyo kila atakayekuja atakuwa mshikiwa Remote kutoka Msoga Gang!

Mark my words!
Na muda ni Shahidi mzuri,sio kila amayekomolewa kwamba hana wanaouona huu ujimga unaoendelea.

Tena itakapowadia zamu yenu,itakuwa chungu sana.

Nimepita na sintamj8bu yeyote!
Acha kulia lia
 
Ni majinga sana hayo majitu maana yalishadanganywa na kuaminishwa kuwa mtu akiwa na mali basi huyo ni mpigaji
Tatizo la watanzania wengi ni kukariri maisha badala ya kudeal na watu wanaowaibia kila siku wanashangilia mtu fulani kupelekwa mahakamani na kushitakiwa, mtu ambaye hata kama akishitakiwa na kufirisiwa hana faida yeyote kwao na famialia zao!
 
Back
Top Bottom