Alex massawe anatafutwa

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Anayejua gazeti la tarehe 10 liloandika habari ya alex massawe kutafutwa kwa mauji atujuze wa hapa Jf
 
Anayejua gazeti la tarehe 10 liloandika habari ya alex massawe kutafutwa kwa mauji atujuze wa hapa Jf
Mkuu kama ni kweli ni habari njema maana Papa Msofe ni lazima katika ungamo atamke yote!!! Washikaji mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Sasa usiku wote huu umeskia juu juu gazeti la kesho? Ama umeskia gazeti la Kibonde? Manake unatuuliza tena gazeti gani!
 
waje wamuangalie kuna nyumba zake mbili zipo huku mbezi beach- dar es salaam eneo linaitwa kwa zena......huwa kuna range rover black inaingiaga night kali lakin mchana panakua hakuna business yeyote around except usiku tu, so mnaomtafuta mje kujaribu kutega na hapa
 
Huyu Mkibosho ni Rafiki yake Papaa Msofe mutoto ya Mbuzi,
Alex Massawe alimkopesha km 30m kwa riba ya 9m mfanyabiashara wa madini ya tanzanite kwa kuweka rehani nyumba naye akamuuzia Papaa Msofe, wakati mkopaji kamaliza deni, alipoenda kuidai Mahakamani siku ya hukumu alfajiri kabla ya kusomwa huyo tajiri akafa.
fuatilia humuhumu utakuta na cheni ya watu (marehemu) wa Madini wa Mahenge ni vituko tupu
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/306504-papaa-msofe-akabiliwa-na-kesi-ya-mauaji.html

[
"Mr
Marijani acquired the house from his
friend". Huyo rafiki yake Ni Jambazi Alex Masawe na ashakimbia hajulikani alipo!

Alex Massawe ni rafiki ya Papaa Msofe na wote ni wahalifu waandamizi hapa Bongo.
 
mkuu umenichekesha, hawa jamaa ni SENIOR EXPERT CRIMINALS

Majambazi kama hayo yakishajuana na mapolisi waandamizi unategemea nini? na wao wanakuwa waandamizi pia.Sijajua safari hii wamekosea nini mpaka wamebanwa hivi?au imewakalia vibaya polisi waandamizi!!!
 
Sio huko tu huyu jamaa ana 'Machimbo' mengi mojawapo lipo Kisarawe sehemu inayoitwa MPUYANI kiwanda cha Cement ana bonge la Lodge.....Nadhani ANAWATEGA....Na ATAWAKAMATA.....

Back
Top Bottom