Album ya bibi Mamndenyi

IMG-20110209-00106.jpg
Allien wewe ni mcutie ..naona pose la uhakika
 
Last edited by a moderator:
Old is gold;
Hii kitu ilikuwa nzuri sana;
Wakati huo jf ilikuwa na ladha siyo sasa.
 
charminglady !
Hii imenikumbusha enzi ambazo ndo kwanza Judgement mchicha wangu wa chini umeanza kuota !
Istoshe vichwa vyetu vilikua vimetulia , hapakuwepo na sijui Rasimu , Katiba inayopendekezwa! Sijui Ukawa , Akidi , Serikali 3 etcera .

Hahahahaa.... Ni kweli my shem, saiv vichwa vya watu vimejaa Ukawa, Rasimu ya Katiba hata Utendaji wa Kazi umepungua!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom