Album ya bibi Mamndenyi

Roulette
Hizi attachment zimegoma kufunguka so nimemiss baadhi ya fun pics
Please fanya tena attachment nimwone na Amyner enzi zetu

I don't know what's wrong. Labda Invisible anisaidie kuziweka sawa ila mimi nazipata... (hii ndio ile ya NN, Afro, wewe na Amyner)

attachment.php
 
Hahahahaha, mi mwenyewe nambembeleza hapa anipe niondoke nazo...
Teh teh ni za ukweli sana
Huwa naangalia picha fulani tulipiga wakati wadogo da huwa nazipenda sana coz ziko juu sana zinaonyesha uhalisia wa maisha ya watanzania wa zamani
 
Roulette!
Fanya makeke tuzione na attachment! Nadhani hizi zilizotoka ni zile za zamani zaidi (black & white)
za attachment zitakua zile za rangi (recently)
 
Back
Top Bottom