Album ya bibi Mamndenyi

hahahahhaah mama Roulette we hufai kwa kweli loohh
Nimecheka sina hamu . Nikipata muda zaidi nta comment kwenye picha moja baada ya nyingine..
Brilliant work. Thanks again ..TA. ohh by the way I think Invisible look real hot back then.(enzi hizo sijui sasa):wink2:
afrodenzi you were so cute, Masha'allah! yani sura yako haijabadilika sana. lol. Invisible is still hot, na tuliamua pamoja kuacha sigara.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa najipumzisha hapa kwa Mamndenyi, nimepewa album ya familia yetu kuu ya JF (with legend of who is who in the zoo).
Kumradhi members wote watakao tajwa, hamna cha name calling wala nini, nimepewa ruhsa na uongozi wa JF>

tunaanza na picha ya picknick ya mwaka mpya Mwanza: from ledt to right: gfsonwin akimrudishia Kaizer heleni alizo pewa baada ya kugundua kua kuna expectations in return (Nyuma kabisa ni Kimey); Saint Ivuga akiwakumbatia Mwali na CUTE (Cute ni huyo alie suka), Judgement na Husninyo
View attachment 56955
hehehehe nikiikumbuka hii siku nabaki kucheka maana baada ya hapo beach kilichoendelea ni Kaizer anakijua lol ! Thanks Roulette kwa good memories
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom