Watu wasiojulikana wamemkata mkono binti mwenye ulemavu wa ngozi(albino),kisanga hicho kimetokea usiku wa juzi kuamkia jana,inadaiwa kuwa watu hao walitumi jiwe kubwa maarufu kwa jina la FATUMA,kwa kuvunja mlango wa chumba alichokuwa akilala na wenzie!
Baada ya watu hao kuingia walikata mkono wa binti huyo na kutimka nao,polisi haijafanikiwa kuwakamata na inaendelea na msako
Baada ya watu hao kuingia walikata mkono wa binti huyo na kutimka nao,polisi haijafanikiwa kuwakamata na inaendelea na msako