Al-Jazeera swahili channel is very dangerous for East African and their unity..

I Still doubted their intention from the facts that they have have destroy Libya....what we are witnessing is new SOMALIA and AFGHANISTAN, mountains of lies that Gadhafi warplanes are bombing civilians ( by order of Gaddafi himself according to Al Jazeera )in Tripoli and Benghazi were all fabricated , they have created a picture that massacre is being committed by Gaddafi army all were lies ..the truth is that Gangs of unlawful have taken army Barrack in Benghazi destroy government properties and killing pro goverment supporters !1 all in all their lies prompted the imperialist NATO using UN to invade and Bomb Libya non stop from March till now more than 25000 cruise missiles 25000 against . Till now this Channel continue to tell lies by giving misinformation.

Im not afraid of free media or reporting what i am afraid if media is irresponsible and ....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....

Ever since it's launch, Al Jazeera English has seen abundant applauses and controversies. There is little doubt that it differs in it's attitude and point of view from the other major TV News media outlets such as the BBC and CNN. It has created the impression of a professional, different and bold news agency. Even among the liberals in the United States are afraid that Al Jazeera might change. Very few people doubt now that AJE has carved a niche for itself in importance just beside BBC and CNN.

The imperial powers did not like this rise. Al Jazeera was talking about subjects they did not want anybody to talk about. Because if the corrupt people are exposed, the West will loose out as they like using them for their own interests. In deed, at first, there was a well conceived propaganda to discard Al Jazeera as a terrorist mouthpiece, followed by persecution.

But the station has had to pay a high price for its independence and professionalism. Its offices in Kabul and Baghdad were bombed by the US; its Baghdad correspondent Tariq Ayyub was killed; its Kabul correspondent Taysir Alluni was arrested in Spain and charged with terrorism; and its cameraman Sami Alhajj was kidnapped in Kabul and continues to be held in Guantánamo Bay. Most notoriously of all, George Bush even suggested to Tony Blair that they bomb al-Jazeera's Doha headquarters.

However, Al Jazeera has stood the test, most of the world has acknowledged Al Jazeera as a legitimate and independent news channel. However, there are some people out there who don't want the channel at all. What purpose does it serve? This is the question I do not know an answer to.
It may be that some people do not want a dinosaur in their backyards. The East African media, by and large, are a tamed flock. They sometimes bark, but rarely bite. They race happily behind the government when tensions rise.

Suddenly a news channel that is not afraid of taking on the global giant such Exxon, may evantually become too much trouble to handle in East Africa in general and Tanzania in particular. Whatever may the actual reason be, the Governments do not want to admit it. It is up to us to demand that we be allowed to watch this channel that draws so much applause and awe. Al Jazeera can be a welcome break from the emperial attitudes of the western media. Aljezeera will be reporting from the unreported world often ignored by the like of CNN for the interest of the West. Rostam kaona mbali.

the news that aljazeera tv want to start swahili channel in east africa is disturbing , lets
beware with this channel its not the same al jazeera we know ....they have created hell in libya ..a lot of lies , piles of lies and misinformation...they have completely destroyed libya .....qatar goverment the usa purpets are supporting and supplying rebels ..al qaeda in libya....and al jazeera are falsifying every news they report about libya.....

They are not proffesionals they are biased and they just report what their qarari sheikh wanted......

Because they have grudges with gadaafi when he told them in arab league that they work for usa to destroy iraq and killing palestine...so now they want to detroy him and libyan people.....and they are using al jazeera as their tool for lies against libya goverment.

Now they're spreading lies on syria and syria is on fire ....this is aljazeera.......we must be very careful with this type of channels in our country....ours is very delicate society with religion tension on high rise during last year election..... Am afraid with this powerful channel which serve the imperialist interest could destroy our peaceful country.

In kenya tribes politics could be very much fueled and erupted more than last election...

We should not entertain and licence an hatred and irresponsible channel like this .......otherwise our unity is at stake..

media propaganda to justify attacks on libya

i hope now you know the truth about libya,if not,tune to any tv station of your choice and you wont blame al jazeera next time
 
Last edited by a moderator:
But You are also propagating in the interest of the existing media houses in an attempt to prevent more comprtition
 
Let the media (including Al Jazeera) reports and the audience will decide.
Nobody has ever said that RTD and TBC are dangerous!!
 
I Still doubted their intention from the facts that they have have destroy Libya....what we are witnessing is new SOMALIA and AFGHANISTAN, mountains of lies that Gadhafi warplanes are bombing civilians ( by order of Gaddafi himself according to Al Jazeera )in Tripoli and Benghazi were all fabricated , they have created a picture that massacre is being committed by Gaddafi army all were lies ..the truth is that Gangs of unlawful have taken army Barrack in Benghazi destroy government properties and killing pro goverment supporters !1 all in all their lies prompted the imperialist NATO using UN to invade and Bomb Libya non stop from March till now more than 25000 cruise missiles 25000 against . Till now this Channel continue to tell lies by giving misinformation.<br />
<br />
Im not afraid of free media or reporting what i am afraid if media is irresponsible and ....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....
<br />
<br />
Pole Marcos, kama tumbo limepata joto kwa kuogopa kupoteza uliyoyachuma kwa ufisadi na wenzako... Pole! Change is coming, embrace it or perish. If you have a clean conscious worry not.
 
ha ha ha!
...disturbing the magamba's peace!

na hapo bado hawajaanza ku-operate...!and again you know it mhando is gonna fnck you dead and alive...!

i am very sure 2015 nchi itachukuliwa na soldiers!.....

karibuni aljezira!
 
tatizo ni sisi waafrika kukubali kukuwadia ardhi yetu watu wa magaribi wao hawataki sis tuendelee na wakajua uchovu wetu ni pale kuwa wabinafsi na uroho wa madaraka na ndio kitu ambacho kina tuangusha..

hawa al jazeera na wao wanainterest zao kama ni kuziua tbc na kbc..
 
<br />
<br />
pole marcos, kama tumbo limepata joto kwa kuogopa kupoteza uliyoyachuma kwa ufisadi na wenzako... Pole! Change is coming, embrace it or perish. If you have a clean conscious worry not.

Umesikia uongo wa hawa jamaa ? Wamesema wao aljazeera na wameshhuhudia kwamba saif al gadhafi na muhamad gadafi wamekamatwa kumbe ni uwongo wao, kwa nini waseme uongo? Wao ni channel ya nje ya libya kwa nii wawe upande wa rebels na nato? Kwa sababu hii ni channel inatumiwa kuharibu nchi zote ambazo hazima mfumo wa kisultani amabao ni puppets, hawa ni hatari sana wa kuogopwa kuliko ukimwi.
 
I Still doubted their intention from the facts that they have have destroy Libya....what we are witnessing is new SOMALIA and AFGHANISTAN, mountains of lies that Gadhafi warplanes are bombing civilians ( by order of Gaddafi himself according to Al Jazeera )in Tripoli and Benghazi were all fabricated , they have created a picture that massacre is being committed by Gaddafi army all were lies ..the truth is that Gangs of unlawful have taken army Barrack in Benghazi destroy government properties and killing pro goverment supporters !1 all in all their lies prompted the imperialist NATO using UN to invade and Bomb Libya non stop from March till now more than 25000 cruise missiles 25000 against . Till now this Channel continue to tell lies by giving misinformation.

Im not afraid of free media or reporting what i am afraid if media is irresponsible and ....Just imagine if a Al jazeera TV reported non stop lies that Kikwete ordered to bomb Chadema stronghold in Moshi and Mwanza and armay are killing peacefull demostrators then because of this the country imposed No fly zone and eonomic blockade and then Dar is bombed to punish Kikwete ......this is my fear .....

Mkuu nadhani ingekuwa bomba sana ungechapa lugha ya taifa!!!!!!!!!! Hii nyingine mmh!!!!!!
 
Mie sikuelewa, kumbe kuna watu wanaogopa kusikia ukweli na kwa hivyo yeyote atakayesema ukweli hatakiwi na jamii nzima kwa sababu yao? Hata CHADEMA wakisema kitu wanalaumiwa sana kwamba wanazua mambo, wanatengenezewa sababu za kutungiwa sheria kuwabana.

Baadaye kidogo walewale wanajikuta wanaaanikwa madudu yao njenje. Acha wasema kweli waje watuamshe usingizi, maana zamani kusema ukweli ilikuwa dhambi isiyosamehewa. Chochote kisemwacho na watawala ndio uliokuwa ukweli uliopaswa kuzingatiwa. Leo hii CCM nywiiiiiiii na wanagombana wenyewe. Tutasikia mengi sana kuelekea 2015.

Karibu sana Aljazeera Kiswahili. Waje tuwaone. Wakisema uwongo si tutawaambia?
 
tatizo ni sisi waafrika kukubali kukuwadia ardhi yetu watu wa magaribi wao hawataki sis tuendelee na wakajua uchovu wetu ni pale kuwa wabinafsi na uroho wa madaraka na ndio kitu ambacho kina tuangusha..

hawa al jazeera na wao wanainterest zao kama ni kuziua tbc na kbc..

TBC Nayo siku hizi imekosa uelekeo na kuwa TV ya taarabu na mipasho na Propaganda za CCM. Bora Tuongeze options kwa ujio wa al-jazeera.
 
TBC Nayo siku hizi imekosa uelekeo na kuwa TV ya taarabu na mipasho na Propaganda za CCM. Bora Tuongeze options kwa ujio wa al-jazeera.

Safi sana mkuu..tbc wanaelekezwa na jk waongee nini..cheki kina orijino komedi wanavyopotea, kipindi wapo eatv walikuwa wakiisema serikali ndio maana tukawapendepa..al jazeera naomba muanze kurusha habari zenu haraka tena tutafaidi kumwona dr slaa akimwaga sumu laivu kwenye kila maandamano
 
Mlizoea kutumia carrot and stick kwa local media. Haya sasa al jazeera hao wanatia timu hawanunuliki hao. Lazima kijasho chembamba kiwatoke, no price tag hapo wana mihela ya kutosha hao, mission yao ni moja habari kama ilivyo inamwagwa. Natamani matangazo yao yaanze hata asubuhi hii.
 
Upepo wa mabadiliko hauzuiliwi kwa propaganda za faulo kama hizi! Aljazeere ya kiswahili inakuja upende usipende!
 
Ngoja niwa ekekeze kitu,mimi ni mpenzi sana wa taarifa za habari,Hapa kwetu hakuna hata Tv moja ya Habari, Ziko kibiashara na zimechanganya vipindi chungu zima,Ngoja waje hao aljeezira tuangalie taarifa Masaa 24,very good.
 
umesikia.uongo wa hawa jamaa ? Wamesema wao aljazeera na wameshhuhudia kwamba saif al gadhafi na muhamad gadafi wamekamatwa kumbe ni uwongo wao.....kwa nini waseme uongo? Wao ni channel ya nje ya libya kwa nii wawe upande wa rebels na nato? Kwa sababu hii ni channel inatumiwa kuharibu nchi zote ambazo hazima mfumo wa kisultani .....amabao ni puppets.....hawa ni hatari sana wa kuogopwa kuliko ukimwi.......

Huo upotoshaji ulifanywa na viongozi wa waasi wa Libya, na sio AJE pekee walioripoti ni vituo vingi.,na habari za serikali ya Libya hazitoki kwa kuwa hakuna media yoyote ya nje inayoruhusiwa kuripoti toka maeneo yaliyokuwa yakishikiliwa na serikali ya Ghadafi...kwa hali hiyo huwezi kuwa na hisia zako ukataka ziwe sahihi.
Kuhusu AJE, kwakua viongozi wengi hawapendi mambo yao ya nyuma ya pazia yajulikane basi washaanza kuihofia..
 
Magamba watamukoma Muhando,naona alivyo na usongo nao,mwandishi mahiri Mbwambo aliwahi kumsema Muhando alivyobadilika kwa kujipendekeza kwa JK na wana magamba,lakina Muhando kwa nyodo kubwa alimwambia Mbwambo kuwa watu(wandishi)wanatakiwa wawe na heshima kwa viongozi wao na ndio maana yeye kafanikiwa sana eti kawahoji viongozi wengi barani africa,sasa sijui bado atakuwa kondoo kama alivyokuwa kwenye system ya magamba au sasa atawaumbua magamba kwani ana siri nyingi za hao magamba.Inabidi watu tujifunze tutumikie wananchi na si viongozi kwani,mwisho wake huwa mbaya ,kiongozi akiondoka nawe ndio unakuwa mwanzo wa mwisho
 
Ever since it's launch, Al Jazeera English has seen abundant applauses and controversies. There is little doubt that it differs in it's attitude and point of view from the other major TV News media outlets such as the BBC and CNN. It has created the impression of a professional, different and bold news agency. Even among the liberals in the United States are afraid that Al Jazeera might change. Very few people doubt now that AJE has carved a niche for itself in importance just beside BBC and CNN.

The imperial powers did not like this rise. Al Jazeera was talking about subjects they did not want anybody to talk about. Because if the corrupt people are exposed, the West will loose out as they like using them for their own interests. In deed, at first, there was a well conceived propaganda to discard Al Jazeera as a terrorist mouthpiece, followed by persecution.

But the station has had to pay a high price for its independence and professionalism. Its offices in Kabul and Baghdad were bombed by the US; its Baghdad correspondent Tariq Ayyub was killed; its Kabul correspondent Taysir Alluni was arrested in Spain and charged with terrorism; and its cameraman Sami Alhajj was kidnapped in Kabul and continues to be held in Guantánamo Bay. Most notoriously of all, George Bush even suggested to Tony Blair that they bomb al-Jazeera's Doha headquarters.

However, Al Jazeera has stood the test, most of the world has acknowledged Al Jazeera as a legitimate and independent news channel. However, there are some people out there who don't want the channel at all. What purpose does it serve? This is the question I do not know an answer to.
It may be that some people do not want a dinosaur in their backyards. The East African media, by and large, are a tamed flock. They sometimes bark, but rarely bite. They race happily behind the government when tensions rise.

Suddenly a news channel that is not afraid of taking on the global giant such Exxon, may evantually become too much trouble to handle in East Africa in general and Tanzania in particular. Whatever may the actual reason be, the Governments do not want to admit it. It is up to us to demand that we be allowed to watch this channel that draws so much applause and awe. Al Jazeera can be a welcome break from the emperial attitudes of the western media. Aljezeera will be reporting from the unreported world often ignored by the like of CNN for the interest of the West. Rostam kaona mbali.

Duh! kumbe Aljazeera Swahili -East Africa imeletwa na RA? Au ulimaanisha nini mkuu @ EMT.
 
kwa hapa tulipofikia na haya mambo ya bongo bora ije tu tutapata akili mi nahisi waje tu wachochee mambo watu waamke wamelala mno mpaka wanasikitisha....
 
Back
Top Bottom