Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 312
Ni kitu cha ajabu lakini ndiyo hivyo nimekiona juzi ambapo nilikuwa safarini kijijini na kwa sababu ya uhaba wa sehemu ya kulala nililala rafikiya ngu wa kiume ambaye nilikuwa nae.
usiku ulipofika niliona kama anatafuta meno au ulimi.
Je, huu ni ugonjwa? unatiba? nilipomuuliza yeye anasema hajijui
usiku ulipofika niliona kama anatafuta meno au ulimi.
Je, huu ni ugonjwa? unatiba? nilipomuuliza yeye anasema hajijui