Akitongozwa ananiambia

Han'some

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
283
76
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.

*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

*Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....sms 2 ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

*Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

#Naombeni mniambie, na kufafanua haya.

Asanteni sana
 
Kijana wangu Mpendwa, Wazee wetu walisema hivi "dalili ya mvua ni mawingu" kamwe haiwezi kuwa jua.....kwa hali hiii niionayo hapa kwa umri wangu huu lazima hapa ukubali kuliwa, kinachofanyika hapa ni kupima reaction yako kabla ya ku-break news, not that much longer from now utasikia kubwa zaidi.
 
Hapa kuna karata nying either anakwambia hvyo akimaanisha au anakwambia ili ajue mtazam wako kwamb una react au vp,au anafanya hvyo kama kujilinda endapo uonapo yupo na kijana ujue kuwa alinambia il ucmind a t kumulza hvyo kuendelea na anchotaka,pia kumbk cie twaweza xema meng na yeye akawa na htimisho la haya 2yasemayo!!!
 
Mwambie kuwa wewe hutajali hata mkiwa watano...kwa hiyo aendelee tu na ausikilize moyo wake ....na pumzi yake, kama anaweza kumiliki team nzima ya mpira....!!

BTW, mna umri gani?

Babu DC!!
 
Asingekuambia halafu ukakuta received calls kutoka kwa ex wake ungejisikiaje? Mie hata kina Arushaone wakinikonyeza namuambia Paw. Ndo maana Baba V kika siku anakula ban

Sikujua kama Paw ni jalala kiasi hicho...lol!!

Siku moja nitasimulia version yetu sie wastaafu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kijana wangu Mpendwa, Wazee wetu walisema hivi "dalili ya mvua ni mawingu" kamwe haiwezi kuwa jua.....kwa hali hiii niionayo hapa kwa umri wangu huu lazima hapa ukubali kuliwa, kinachofanyika hapa ni kupima reaction yako kabla ya ku-break news, not that much longer from now utasikia kubwa zaidi.

nipekupata mkuu
 
Mi nadhani huyu anaujumbe fulani kwako, wanawake wanapenda kusifiwa hasa huyu wako kulingana na marlezo yako. Inawezekana upo mbali kihisia nae hivyo anaitaji ukaribu na kusifiwa zaidi, na sidhani kama wale awatakao wakimtongoza atakwambia. Hakuna ke yeyote asiyepata usumbufu wa aina hiyo na kupewa sifa mbalimbali za kweli na za kubeza, lakini huona kawaida na kutosemelea kwa bf zao kama bf huyo hutimiza wajibu kwa gf huyo. Jaribu kurudi nyuma wajibu wako wa sifa kwake unatimiza? Hawa wenzetu wako tofauti, angalia takosa toto wewe watu wanajua toa sifa fake hadi binti hujiona si binadamu bali ni kiumbe zaidi ya binadamu!
 
Hapa kuna karata nying either anakwambia hvyo akimaanisha au anakwambia ili ajue mtazam wako kwamb una react au vp,au anafanya hvyo kama kujilinda endapo uonapo yupo na kijana ujue kuwa alinambia il ucmind a t kumulza hvyo kuendelea na anchotaka,pia kumbk cie twaweza xema meng na yeye akawa na htimisho la haya 2yasemayo!!!

sawa mkuu, asante
 
Mwambie kuwa wewe hutajali hata mkiwa watano...kwa hiyo aendelee tu na ausikilize moyo wake ....na pumzi yake, kama anaweza kumiliki team nzima ya mpira....!!

BTW, mna umri gani?

Babu DC!!

mimi ,26, yeye, 23
 
Mkuu nahisi anakuambia wale anaowakataa,lakini anaowakubali hakwambii!
hii ni sawa kabisa.......
kuna siku kakangu aliwahi kusema kuwa mwanamke wake akimwambia fulani kanitongoza atajua huyo ndo aliyemkataa......
akimkubali hawezi kukuambia.
 
Asingekuambia halafu ukakuta received calls kutoka kwa ex wake ungejisikiaje? Mie hata kina Arushaone wakinikonyeza namuambia Paw. Ndo maana Baba V kika siku anakula ban
Ila we mjanja... Huna tofauti na wadada makruta wanaobembeleza upenzi na makamanda wa vikosi ili wasiburuzwe kwenye kwata...lol
 
Huyo muhuni tuu... Ukiona msichana ana muentertain X wake huyo hafai.. Mmeachana acha mazoea... sioni logic ya kukwambia kila akitongozwa, ila anakupa warning kwamba kuna wengine wanampenda so atakuacha any time.. Kaka achana nae huyo hana akili.. Mi msichana wangu angekua ananiambia kula akitongozwa basi ndo ingekua mada kila siku coz wanaomtongoza ni wengi.. Mrembo jifunze kusema NO kwa wanao kutongoza then ukae kimya..
 
Back
Top Bottom