Akitongozwa ananiambia

hii ni sawa kabisa.......
kuna siku kakangu aliwahi kusema kuwa mwanamke wake akimwambia fulani kanitongoza atajua huyo ndo aliyemkataa......
akimkubali hawezi kukuambia.
Unajifanya kumtolea mfano mwanamke wa kaka yako kumbe unajimaanisha wewe mwenyewe...lol
 
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.

*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

*Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....sms 2 ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

*Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

#Naombeni mniambie, na kufafanua haya.

Asanteni sana
Mkuu nunua na wewe line zingine za simu kama tatu uwe unajitumia msg za kujitongozesha alafu unamfowadia unamwambia kuna vischana vinajigonga kwangu...!
 
Hapa lengo nini mkuu?

Babu DC!!
 
Hapa lengo nini mkuu?

Babu DC!!
Videm vya siku hizi vina tabia ya kuonyesha kwa wanaume zao kuwa vinapapatikiwa huko nje, kama njia ya kumdanganya jamaa kuwa amechaguliwa kutoka kundi la wengi wenye interests na kwamba akimess up mwingine anachukua nafasi. So ili kumuonyesha kwamba usanii na sisi tunaujua, akisema anatakwa na wawili wewe unamuonyesha unatakwa na 10...
Anabloo
 
Afu niko serious ujue? Hivi napaswa nisimuambie eeh? Mie bwana i was and still is a very innocent kid. Hata wakati niko praimare nikitongozwa naenda kusema kwa mama.

Lets talk seriously abt this. Ukiona simu ama sms ya ex wa mwenza wako utajisikiaje?
Sikujua kama Paw ni jalala kiasi hicho...lol!!

Siku moja nitasimulia version yetu sie wastaafu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mm nijuavyo, sisi wasichana tuna katabia flani hivi( hata baadhi ya wanaume wanako pia). Utakuta mtu anamwoshe boyfriend au mume wake msg za watu wanaomtongoza au kumsimulia kuhusu watu wanaomtongoza....hii inamaanisha anataka kukuonyesha kuwa "kuna wengi ambao wanampenda na kumtamani" Indirectly this sounds like "you need to love me more kwasabu kuna wenzio wanaotamani kuwa nami" na hata anavyokwambia kuhusu X-boyfriend wake anajaribu kukuonyesha kuwa"hata alioachana nae bado wanampenda" So what am trying to say is, vitu anavyokuonyesha huyo msichana vinaweza pia kuangaliwa in a positive side as a sign of LOVE.
 
Iko siku atakwambia nililala x-boy friend wangu jana, yaani we acha tu; mpaka nashangaa mwenyewe ila nakupenda wewe tu.
 
Kwa mm nijuavyo, sisi wasichana tuna katabia flani hivi( hata baadhi ya wanaume wanako pia). Utakuta mtu anamwoshe boyfriend au mume wake msg za watu wanaomtongoza au kumsimulia kuhusu watu wanaomtongoza....hii inamaanisha anataka kukuonyesha kuwa "kuna wengi ambao wanampenda na kumtamani" Indirectly this sounds like "you need to love me more kwasabu kuna wenzio wanaotamani kuwa nami" na hata anavyokwambia kuhusu X-boyfriend wake anajaribu kukuonyesha kuwa"hata alioachana nae bado wanampenda" So what am trying to say is, vitu anavyokuonyesha huyo msichana vinaweza pia kuangaliwa in a positive side as a sign of LOVE.

nimekupata dada, thanks
 
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.

*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

*Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....sms 2 ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

*Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

#Naombeni mniambie, na kufafanua haya.

Asanteni sana

kama vipi na wewe mtumie sms kuwa umeambia unavutia halafu uone atasemaje..
 
Afu niko serious ujue? Hivi napaswa nisimuambie eeh? Mie bwana i was and still is a very innocent kid. Hata wakati niko praimare nikitongozwa naenda kusema kwa mama.

Lets talk seriously abt this. Ukiona simu ama sms ya ex wa mwenza wako utajisikiaje?

Eti nini?

Sie tunaishi kama vile hatukuwahi kuwa na Ma-X!

Honestly, she can tease me with anything but not even a single word from her EX-BFs!!!

Babu DC!
 
kitendo cha huyo bint kumwambia X wake kama akienda binti alipo basi ye hatakuwepo hapo bado hawajaachana kwan kama kweli hawapo pamoja angemwambia live.ila hapo anamkwepa tu ila cku nyingine lazima wanakutana.hivyo ndugu yangu safar bado unayo
 
muulize akipata hizo sms anajiskiaje? na anadhani zinaliweka penzi lenu katika hali gani kwa kuendekeza hizo sms
 
Back
Top Bottom