Akina dada wa JF nimkabidhi nani??

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Nimpe nani??
 

Attachments

  • moyo.jpg
    moyo.jpg
    21.7 KB · Views: 328
Kwani lazima uwakabidhi akina dada wa JF tu? Jaribu na kwingineko waweza kupata mwenye nia ya dhati ya kukutunzia huo moyo wako.
 
Mimi naona wa hapa JF ndio wametulia.
Kama ni hivyo, kipimo chako unachotumia kupima utulivu kitakuwa kibovu na matokeo yake utaishia kulizwa kama wenzako tulivyowahi kulizwa. Juu yako!
 
Umkabidhi nani kwanini, umesikia kuna mtu hapa anahitaji heart transplant?
 
Mh. bora umkabidhi Mungu maisha yalivyo magumu huo moyo wako utapigwa bei fasta au unamaanisha kuweka rehani?
 
Back
Top Bottom