Swali nani anaweza msaidia huyu dada tumechoka 😴😪

Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.

Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .

Aisee.

Mwambie aishi maisha ya usafi na aondoe negativity kuwa karogwa au katupiwa majini.

Self-healing ndo itamtoa hapo katika huo mkwamo.
 
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.

Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .

Aisee.
Huyo ni dada Maua, mwambie aende akamwagiwe maji na yule Mchungaji kule karibu na ufukwe wa bahari
 
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.

Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .

Aisee.
Kesharudi kutoka tanga ndugu Namibi(a)? 😀
 
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.

Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .

Aisee.
ipo Nguvu katika Jina la Yesu, mwambie aokoke, asafishwe kwa Damu ya Yesu hapo hayo majini atayasikia tu. Wengi wenu hata sasaivi mnajifanya kufunga kwaresma, ila hamjui hata mnachofunga, mnafunga kidini tu na hamtapata chochote, mnapoteza muda wenu kwasababu mnafuata dini hamfuati Mungu kwa Yesu Kristo. unafunga nini wakati haujampa Yesu Maisha yako? lazima uwe umeokoka, umepakwa Damu ya Yesu na apo ndipo utapata access kwa Mungu.

when I see the blood I will pass over you! nionapo damu nitapita sitakuangamiza, usipokuwa na damu ya Yesu mauti ipo juu yako. Nimeshuhudia kwa maisha yangu, imo Nguvu katika Damu ya Yesu, na pia imo Nguvu ya ajabu pia katika Jina la Yesu Kristo. majini yanakimbia, mapepo, wachawi na magonjwa yanakimbia mbele ya Jina la Yesu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom