Akina dada, mtafanya mauaji haya mpaka lini?

hakuna tofauti ya utoaji mimba na kuzaa watoto tusoweza kuwatunza ipasavyo
 
hakuna dada anayetafuta mtoto mwenyewe lazima mwanaume awepo kama wanaume wasengelala na mtoa mimba isingekuwepo au angekubali kumtunza mtoto nani angeua blame catters both sides

Mwanaume hajui kama mwanamke yupo kwenye joto. Na sisi wanaume tungekuwa tunanusa nusa kama beberu kujua kama upo kwenye joto hapo sawa lakini lawama zinaenda kwa mwanamke anae jua mwili wake kwa nn hakujizuia kushika mimba?
 
Ningekuwa darasani tungeongea mengi sana hapa.........but in short suala la utoaji mimba halizungumziki kirahisi namna hii........eti kina dada msikubali wanaume wasioeleweka au msikubali kuzaa bila mpangilio au msibebe mimba........ Vichocheo vya jambo hili viko vingi ikiwa pamoja na umasikini, ulaghai, unyanyasaji wa kijinsia, ukosekanaji wa maadili you name it.
dah... kamanda wangu, pamoja na kukuvika cheo cha ukamanda usha-groan mara tatu??? sasa ndio naanza kuelewa kwanini inakuwa hivi??:noidea:
 
Hahahaha kamanda .......mie nadhani kitufe changu cha thanx kimechakachuliwa..mie nathank nashangaa ina-groan ah.
 
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!

do u thk wanatoa kwa kup[enda?
ujaona mchango wa wanaume ktk ilo?
na NYIE WANAUME MNGEKUWA MNAVAA condom/mnapenda kujikinga izo mimba zingepenya wap?
weng wanaofanya ivi ni kutokana na msimamo wa wanaume..anaona hana jinsi na njia rahisi ni kuhabot
nyie mngekuwa mnakubali majukumu yenu ili janga lisingekwepo
ili kosa NI LAWOTE WANAUME NA WANAWAKE..SI HAKI KUWANYOSHEA KIDOLE WANAWAKE PEKEYAO
WANAUME NDO CHANZO CHA YOTE...MNGEKUWA MNAKUBALI MIMBA ZENU MDADA ASINGEKWENDA KUHATARISHA MAISHA YAKE KWA KUTOA MIMBA
 
Nimecheka unaposema eti wazazi wenu wangewaua mngekuwepo, so ni heri wale watoto wanazagaa mitaani na kupata shida vile ee. Sema watu wajitahidi wasibebe mimba, ila hili la kuzaa kila mimba bila mpangilio hata siliafiki

Mamangu amenizaa akiwa na miaka 15,..
alikua hajapanga,na wakati wote wa mimba yake aliteswa kwa limtu lilo mdanganya na kumpa sababu ya umaskini wake.
alifukuzwa kwao....
alikuwa house gal na huko usumbufu ni uleule.....
alishauriwa kutoa aka kataaa,....
Mimba yangu ilikua haija pangwa,....
angetoa leo ningekua wapi?

Yawezekana hujapanga kumzaa mtoto,ila Mungu ana plan nae na ameona wewe unaetaka kutoa unafaa kumleta duniani!
Shiiiit,...
 
Mwanaume hajui kama mwanamke yupo kwenye joto. Na sisi wanaume tungekuwa tunanusa nusa kama beberu kujua kama upo kwenye joto hapo sawa lakini lawama zinaenda kwa mwanamke anae jua mwili wake kwa nn hakujizuia kushika mimba?

kwanini wewe usivae tu ndomu?
mpaka uambiwe?
unajua uyu demu sna mpango nae iweje u do nae bla ndomu ili kujikinga na izo mimba zenu?

wote mna makosa.
 
duh.. Hii kali ya mwaka,

sasa (off-topic), Hivi nikikuletea chupa ya black label ofisini right now itakua kosa??
Tena ni wakati muafaka.......du the needful kaka.
On-topic.............. hivi kwa nini wanawake tunatoa mimba na kuua watoto ??
 
dah... kamanda wangu, pamoja na kukuvika cheo cha ukamanda usha-groan mara tatu??? sasa ndio naanza kuelewa kwanini inakuwa hivi??:noidea:

Watu inapokuja kwenye realities wanakuwa wanafiki sana ikitokea utoaji mimba oo mungu hapendi kwenye keyboard wakati huko wanafanya, linapoletwa suala la uzinzi hapa unakuta karibu kila mtu anakemea ila huyo huyo anaendelea kufanya uzinzi, so tupunguze unafiki jama uongelewe ukweli ili watu wajifunze.

Mimi sikubaliani tena nasema tena suala la mtu kufyatua watoto hovyo eti kisa kama wewe ungeuwawa ungekuwepo. Dhambi ni dhambi kwa mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa kuua na kudanganya zote ni dhambi moja mbele ya mungu. so watu waeleweshwe madhara ya utoaji mimba na kufanyana bila condom na sio kuhalalisha kuzaa kila kiumbe kiingiacho tumboni.

watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu
 
Mamangu amenizaa akiwa na miaka 15,..
alikua hajapanga,na wakati wote wa mimba yake aliteswa kwa limtu lilo mdanganya na kumpa sababu ya umaskini wake.
alifukuzwa kwao....
alikuwa house gal na huko usumbufu ni uleule.....
alishauriwa kutoa aka kataaa,....
Mimba yangu ilikua haija pangwa,....
angetoa leo ningekua wapi?

Yawezekana hujapanga kumzaa mtoto,ila Mungu ana plan nae na ameona wewe unaetaka kutoa unafaa kumleta duniani!
Shiiiit,...

Suala hapa si utoaji mimba wewe, una uhakika gani mama yako hajawahi kutoa mimba? acheni unafiki hapa na wewe pia inawezekana ulishashiriki kutoa mimba ila unajishaua tu hapa eti mama yangu asingenizaa ningekuwa wapi unafikiri mama yako alishadanganywa mara ngapi mpaka sasa
 
Close the topic,nimetoa mfano kuonesha ubaya wa kutoa mimba na sio kuongelea mamangu katoa mimba ngapi,..
thank God hatujuani na kila mtu yupo kivyake!
 
Unafikiri wanaopata mimba hawajui? ni uzembe sana, ila wanaume pia wa kulaumiwa, wanapenda sana kula pipi bila maganda, msichana usipojisimamia, ukawa ngangali uakwenda na maji. ushauri pia kwa nyie wa kaka, msijipende nyie tu, kulamba sali hafu cxonsequenses mnamwachia mwanamke. Mimba ni muungano wa male and female so lawama kwa wote.
 
Watu inapokuja kwenye realities wanakuwa wanafiki sana ikitokea utoaji mimba oo mungu hapendi kwenye keyboard wakati huko wanafanya, linapoletwa suala la uzinzi hapa unakuta karibu kila mtu anakemea ila huyo huyo anaendelea kufanya uzinzi, so tupunguze unafiki jama uongelewe ukweli ili watu wajifunze.

Mimi sikubaliani tena nasema tena suala la mtu kufyatua watoto hovyo eti kisa kama wewe ungeuwawa ungekuwepo. Dhambi ni dhambi kwa mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa kuua na kudanganya zote ni dhambi moja mbele ya mungu. so watu waeleweshwe madhara ya utoaji mimba na kufanyana bila condom na sio kuhalalisha kuzaa kila kiumbe kiingiacho tumboni.

watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu

maty leo umekunywa nini mama?
yaan dah unaongea maneno ya sikukuu jaman dah

asilimia kubwa ya wanaume awapend condom tena km ukiwa nae kwenye relatison kwa mda mrefu ndo kabssaaa...ndom mgogoro ..then akikuingza limimba lake ambalo wewe hauna mpango nalo na ukitoa bas kelele....wewe unajua kabsa maisha ya sasa kubeba mimba ni plan sasa cha kumshtukiza mtu kitu gan ..et kisa imeingioa bas aitok>??

km wanaume pia wangekuwa wanaona huruma SANA JUU YA UTOAJI BAS WANGEKUWA WAANGALIFU katika ku do na wanawake ambao wanajua hawana future nao...

mtu anakupa limimba tu na ukimchek wala asomek anaruka ruka do u thk mdada atabeba tu io mimba?
kwa nini ukipe tabu mtoto mtarajiwa?
kwanza watoto wanaopatikana katika mazingra aya ya migogoro wanakuja kupata tabu tu dunianio na ile hali ya kujishtukia au ROHO YA KUKATALIWA INAKUWA INAMWANDAMA ATA AKIWA MKUBWA...cz tangu siku ya kwanza tumbon mamake alikuwa anamkataa/ananun"gunika...

raha ya mimba uiplan bwana yan dah...lakin i habar ya unapewa tu lizigo puuuu bila kupanga ahhh apana nooooooooooooo

jukumu la kuzuia mimba ni lenu wote mke na mume.
thou kutoa mimba si fresh ....nawasilisha.

Watu inapokuja kwenye realities wanakuwa wanafiki sana ikitokea utoaji mimba oo mungu hapendi kwenye keyboard wakati huko wanafanya, linapoletwa suala la uzinzi hapa unakuta karibu kila mtu anakemea ila huyo huyo anaendelea kufanya uzinzi, so tupunguze unafiki jama uongelewe ukweli ili watu wajifunze.

Mimi sikubaliani tena nasema tena suala la mtu kufyatua watoto hovyo eti kisa kama wewe ungeuwawa ungekuwepo. Dhambi ni dhambi kwa mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa kuua na kudanganya zote ni dhambi moja mbele ya mungu. so watu waeleweshwe madhara ya utoaji mimba na kufanyana bila condom na sio kuhalalisha kuzaa kila kiumbe kiingiacho tumboni.

watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu

Pole maty
Ndo mana nikasema suala hili ni pana kuliko tunavyolifikiria. Hata hizo kondom na matumizi yake zina explanations tofauti nyingi ya why watu hawatumii na haiishii kwenye utashi tu kuwa eti mtu hapendi kula pipi na maganda hapana ni suala pana na sababu ziko nyingi tofauti. So utoaji wa mimba kama utaji wa mimba hauwezikuzuiliwa kwa kuwanyooshea vidole watuhumiwa tu.
 
Hivi kwanini baadhi ya nyie akina dada anaua watoto mliowatafuta kwa starehe zenu? Mtu unajiachia mwenye tena bila kinga yoyote, then ukipata mimba unatoa, je hamjui kuwa hapo anafanya mauji ya viumbe vya MUNGU? Kama hampo tayari kuzaa, kwanini mnajiachia bila kutumia hata lady pepeta? Wazazi wenu wangezitoa mimba zenu, nyie mngekuwepo hapa duniani? Inaniuma sana kwakweli!!!!!!!!!!!

Hapo kwenye red hivi unafikiri kuna mtu yuko proud to be born? kuna raha gani? imetokea tu tupo duniani. Tungetolewa ingekuwa poa zaidi, LOL.
 
Watu inapokuja kwenye realities wanakuwa wanafiki sana ikitokea utoaji mimba oo mungu hapendi kwenye keyboard wakati huko wanafanya, linapoletwa suala la uzinzi hapa unakuta karibu kila mtu anakemea ila huyo huyo anaendelea kufanya uzinzi, so tupunguze unafiki jama uongelewe ukweli ili watu wajifunze.

Mimi sikubaliani tena nasema tena suala la mtu kufyatua watoto hovyo eti kisa kama wewe ungeuwawa ungekuwepo. Dhambi ni dhambi kwa mungu hakuna dhambi ndogo wala kubwa kuua na kudanganya zote ni dhambi moja mbele ya mungu. so watu waeleweshwe madhara ya utoaji mimba na kufanyana bila condom na sio kuhalalisha kuzaa kila kiumbe kiingiacho tumboni.

watu wanazungumzia tu condom hapa lakini asilimia kubwa ya watu wanatumia condom mara chache sana so tupunguze unafiki, ukweli lazima usemwe hata kama ni mbaya machoni kwa watu
Maty bana unawaelewesha nini watu kitu ambacho wanakijua labda awe mtoto wa miaka 7 yaani unaeleweshwa mtu wa miaka 20 na kuendelea madhara ya kufanya mapenzi bila kutumia condom ni kama vile unampigia mbuzi gitaa, watu wanajua bwana wanafanya makusudi tu baadae wanaanza kusema mara Mungu mara sijui nini.
 
Hata yule kaka niliesema amepigwa mpaka amekufa kwa kufumaniwa na mkewe kuchangia fumanizi, ndugu walificha eti kisa wanaona aibu kusema kapigwa kwa sababu kafumaniwa sasa amekufa. Baada ya kufa jana maiti imebidi istopishwe kuaga ili ichunguzwe tena kwani mwanzo walificha baada ya uchunguzi mwanamke amekamatwa aisaidie polisi na pia kuwataja alioshirikiana nao kumpiga mumewe. So huyo mmama yuko polisi mumewe kaenda zikwa.

Sasa ndio narudi yule kaka asingekufa ingemalizwa kimya kimya tu kwa kuogopa aibu eti kafumaniwa, swali la kujiuliza tukiachana na kufumaniwa ni yeye tu ndio anatoka nnje ya ndoa? ni wengi tu wanatoka ila hawajawahi kufumaniwa, na unakuta mtu akifumaniwa watu wanashabikia kabisa utadhani wao huwa hawafanyi.

TUACHE UNAFIKI KAMA KWELI TUNATAKA KUJIFUNZA
 
Maty aisee nilikuwa nasubiria kweli hitimisho la hili sakata
 
Close the topic,nimetoa mfano kuonesha ubaya wa kutoa mimba na sio kuongelea mamangu katoa mimba ngapi,..
thank God hatujuani na kila mtu yupo kivyake!

Kama unataka kunifahamu nitakufahamisha wapi napatikana tena kirahisi tu alafu tuone unakuja kunifanya nini? hebu tuache unafiki. Mimi sina aibu inapotokea kuongea ukweli. we unafikiri nimeongea hivyo cause hapa jf sijulikani au wananijua wengi kuliko unavyodhani lakini sioni faida ya kuongea unafiki kama kweli tunataka kuepukana na mabaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom