Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

[/COLOR]usawa huu utakula mzigo wa nani alafu ule kona? watu wenye washakuwa wajanja, jaribu uone utakavyokugandwa ka gundi ndo utashika adabu yako

kaka/dada hujakosea. Bora usile ukijua huna mpango nae la sivyo jiandae
 
Sasa usiporingiwa hata kidogo ina raha gani?

Hii kitu ni process bandugu, ina vipengele viiingi tu na kimojawapo ndo hicho. Yaani wewe unataka uambiwe hapo hapo, wala hata hainogi. Utasimulia nini sasa baada ya miaka mingi namna ilivyokuwa ngumu kumpata?

Mi asiporinga wala staki!! Kuringa muhimu inaleta raaaa!
 
kwenye kipengera cha sheria inayozuia ubakaji wanafafanua kuwa kudharirisha kijinsia ni pamoja na kuendelea kumuandama mtu ambaye hakutaki,sasa hapa wadada tusaidieni,tutatofautishaje anayetaka huku anatumia mbinu ya kukataa kwanza,na yule asiyetaka kiukweli ili isije ikapelekea mtu kufunguliwa mashtaki ya ubakaji?
 
Sasa usiporingiwa hata kidogo ina raha gani?

Hii kitu ni process bandugu, ina vipengele viiingi tu na kimojawapo ndo hicho. Yaani wewe unataka uambiwe hapo hapo, wala hata hainogi. Utasimulia nini sasa baada ya miaka mingi namna ilivyokuwa ngumu kumpata?

Mi asiporinga wala staki!! Kuringa muhimu inaleta raaaa!
me binti wa kumtongoza na kunikubali bila usumbufu hata haina raha afu namshusha thamani..but bint umhangaikiee..akuzungusheee hata siku anakukubali
heshima kwake inakuwepo
Gurta
 
Last edited by a moderator:
Kila mti na mbuyu wake kaka. Kuna mchizi mmoja hapo alishazungusha akaona demu mteremko. Ikaja kwako demu ajatuna. Wanawake wote ndio walivyo kuna wakati easy going na wakati inabidi mwanaume upige sana misele
 
W/wake wengi Maharage ya Mbeya tu kukataa ni BIG NO,, anajirahisi hadi basi mtu unatongozwa kwenye daladala unatoa na No kabisa huku una Bwana ako tayari ss unategemea nini zaid ya kupigwa Libolo FC afu jamaa akuteme.

M/Mke ni sawa na mtu anaesumbua Mahakama tu lakini baadae lazima afungwe so,hizi sitaki na taka ni mbwembwe tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom