Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

Mliboana..............huyo dada mliyekutana naye sio member humu na yeye aandike thread yake????
 
Sasa siku moja tu na spend 100.000!
Bora tumalize game siku ya kwanza tu, mwanamke unatafuna pesa hivyo tukikaa mwezi si takufa kwa madeni

aaah wapi, hiyo laki ya mawazo kwanza. Mnaoombwa vi sh mbili tatu ndio mnaongoza kwa kulalamika. Wenye hela zao wanahudumia bila malalamiko.
 
Tena madada mkome mkomae,hii tabia ya umatonya siipendi kama nini. Ukiwa na busara utapewa hata kabla hujaomba jamani,hivi hiyo kitu mshaifanya mradi? Tena wapo wengi wasomi kwa ngumbaru wenye hako katabia. Ukitangaza nia tu,profoma invoice za saloon,simu,laptop nk zinaanza,acheni.
 
Na sisi kina dada huwa tunawapima tuone mna nia gani,anakutega kidogo tu akuone,sasa wewe ulipatikana. pole sana.
 
Starehe gharama. Hapo hujafikiria huko kwenye nyumba ya wageni, nyama choma +kinywaji cha aina yake ambacho bila shaka kitakuwa sio Kil au Chui chui + taxi maana baada ya.......hawezi kuondoka kwa Dala dala. Halafu unasema kipato hakitoshi kendesha maisha.
 
mbona wewe unamtaka ku do mapema2 hata hamjazoeana!!!!!!!! nakwambia naye atakuwa amehsakuona dizaini mana umekubaliwa mara tu unaomba ku do sasa ye afanyaje, kwanini nawe usijizuie kuomba ku do mapema?? unaonekana nawe sio decent unamtaka kwa matamanio yako no wonder naye anataka kukuchojoa hela ili ukitokomea naye awe ameshakutafuna. Ila ukiwa gentleman kila kitu kwa wakati wake am sure huwezi kupata wa aina hiyo, shida ukiwa kicheche lazima upata kicheche
 
kweli inaboa,mi ishanitokea mara kibao tu,kuna mtoto mmoja nilimuaproach akaniambia anamchumba ila yupo nje ya nchi,akasema yuko tayari kuwa na mimi ila nitambue ana mchumba,nami nikakubali nikijua baaa ya mda nitamkoreza na atamsahau tu huyo mchumba ake,baada kama ya wiki moja hivi nikamuomba tukutane ili tulizindue penzi letu,akaniambia mbn una haraka hivyo?basi mi nikawa mpole,lakini baada ya siku mbili yeye akaniambia anaomba nimpatie 15000 eti mwele akasuke kimasai nikamwambia kwa sasa sina,alichonijibu ni kwamba kama huwezi kuhudumia acha wanaweza kuhudumia watumie,nami nikampotezea,coz yeye kuduu alisema bado mapema nisiwe na haraka nikamsikiliza,lakini yeye anataka pesa mbon hakuona kama nae ni haraka

Yaani nie mnakimbilia ku-do tu, kwanini na nie msipigwe mzinga? Hata hivyo kaka zangu kizuri kna gharama yake na usione vinaelea vimeundwa.
 
MMMh! kazi kweli ipo,ss kwani kama unampenda kwanini usimpe? pesa ya saloon unalalamika ungeambiwa ununue gari? ebu wacha ubahili wako umemuona mzuri ndio mana ukamfatia mbio ulidhani anavaa majani? huna mpya ......

I love this answer. Kwanza kakupa bill ndogo...ulikuwa unatakiwa utoe pesa ya taxi (au ya mafuta kama anadrive) pesa ya lingeries, kucha kope etc....msione vyaelea vimeundwa.
 
kumbe alitakiwa atoe kama tu-lanchi tungapi hivi da maty!?unajua naanza kujishtukia mi nina tofauti sana aisee!
 
Yaani nie mnakimbilia ku-do tu, kwanini na nie msipigwe mzinga? Hata hivyo kaka zangu kizuri kna gharama yake na usione vinaelea vimeundwa.

i do this with pride dadangu,sababu mi ni mwanaume na kama nina weza fanya hicho kitu............sio kwasababu nataka kummega!yaani kwamba nakuwa nalipia huduma ya ngono pale!?ndo maana mi sijawahi attend to any invoice submitted immediately after 'game'(ambazo hata hivo ni chache mno).mitazamo mliyo nayo wengi wa dada zangu ni kama inahalalisha kutumiwa,pamoja na mfumo dume bana!nikitaka za hivo naenda kwa wauza sukari wenye kiwango kikubwa ambako nitapata pia value for money!acheni hizo bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom