Akili ni mali

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Mwalimu aliingia darasa la 3 na kuwataka wanafunzi wachore mti una ndege amekaa juu na akawapa muda wa dkk 10, zilipotimia dkk 10 mwl akapiga makofi kuashiria muda umekwisha, akazunguka kuangalia walichofanya wanafunzi, akamkuta mwanafunzi mmoja kachora mti bila ya ndege, alipomuuliza, mwanafunzi akajibu: " Mwl nilikuwa nimechora mti na ndege juu yake, ulipopiga makofi tu yule ndege akapuruka".
 
ya kitambo sana hiyo, inafanana na ile ya mtoto kuchora majani halafu akamjibu mwalimu kuwa ng'ombe alisepa.
 
Back
Top Bottom