Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,302
- 4,682
Kuna huyu jamaa rafiki yangu mara kwa mara amekuwa akija kutafuta ushauri kwangu, mara ya mwisho kaniambia kuwa kila akilala na mkewe anawaota ma-ex wake nikashindwa kumsaidia, juzi kaja kuniambia kuwa kwa wiki mbili mfululizo amekuwa akiwaota ma-ex wake one after another mpaka akamwambia my wife wake basi hawezi endelea na ndoa. kisha kaja kwangu kuniuliza kama kafanya jambo la busara kumuacha mama au kakosea, nimsaidie vipi?
mi sizani kama mtu kumuota mpenzi wake wa zamani itapelekea ndoa kuvunjika...so GM hebu weka wazi hiyo ndoa ni ya msikitini, kanisani, bomani au ya mkeka?