Akikataa mapenzi na urafiki ufe?

Mh WOS umenikumbusha mbali.......... I once lost a very dear friend due to the same reasons. But nilimwelewa maana alisema kweli haweziendelea niona mie kama rafiki wa kawaida kwani kila akiniona usiku ana'haribu'

We had to go our separate ways............ I wonder where he is now!!
 
apo sasa

usiniambie unamtafuta!!!! halafu bado umebandila plaster.....
 
"we cant b friends if we cant be LOVERZ"....

yap...kwann tuwe marafiki wakati kilichoanzisha huo urafiki ni kiu yangu ya penzi lako tamu?...since siwezi kupata hilo penzi lako tamu lilopelekea niombe "urafiki wa ki-mitego" ili nilambe asali yako na "nikae ndani ya uvungu wa mtima wa moyo wako"....

KAMA MBUAE MBUAE BWANAAA...NI BORA KUMWAGA MBOGA TUU.
 
Mh WOS umenikumbusha mbali.......... I once lost a very dear friend due to the same reasons. But nilimwelewa maana alisema kweli haweziendelea niona mie kama rafiki wa kawaida kwani kila akiniona usiku ana'haribu'

We had to go our separate ways............ I wonder where he is now!!

...mnh, kweli yataka moyo.
Yote yanatokana na stress za maisha hizi. Kama Mke/Mume angekuwa rafiki wa kweli,
wala huwezi pata wazo la kumtaka mapenzi mtu baki.
 
Back
Top Bottom