Akaunti za Msekwa, Luhanjo zichunguzwe

Binadamu viumbe wa ajabu sana, mtu anaviwanja 20 havijajengwa ana lobby vingine 10.
Mtu ana Majumba na utajiri wa kutupwa bado anaiba mali za umma tena na tena.


Mtu ana miaka 68 bado anajilimbilizia mali wakati muda wake wa kuishi duniani upo kwenye RED. Kweli Binadamu kiumbe cha Ajabu.
Hiyo ndo tabia ya binadamu wengi hasa viongozi wa Afrika. Hii inasababishwa na ulafi na ubinafsi wa kutokuwa na huruma kwa dungu, jamaa na marafiki ambao ndo wananchi wa kawaida. Mtu mwenye uchungu na dungu zake, jamaa zake na marafiki hawezi kuwa hivyo.
 
Kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kutorosha nyara za taifa nje ya nchi kinyume cha sheria, kuna haja ya kuchunguza akaunti za vigogo hawa wawili ili sheria ichukue mkondo wake.

Nani wa kuzichunguza? Humjasikia yule kigogo wa taakukuruka alitaka kukimbia nchi
kwa hofu baada ya kuwachunguza wakubwa wa nchi hii!
 
Back
Top Bottom