Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
kwa kweli mzee wetu kama kweli yalioandikwa kuwauzia wafanyabiashara sehemu zisizoruhusiwa kw a
njee zenu ama za ccm ama familia yako kwa kwli ni aibu sana sana mzee wangu....
Mkuu, unaweza kufafanua zaidi kwa faida yetu sisi ambao hatukupata bahati ya kusikiliza radio au kusoma magazeti?