Akanipandishia gauni ili nione vizuri…………………!

Baba, mbona huyu dada yako wa hiari sijawahi kumuona akija hm?
Mbona ww ulipiga chapo na unato macho yako mpaka sasa na hujapofuka?
Je ni ruhusa kpiga chabo akina kaka?

Wewe sasa unataka kunivurugia ndoa yangu na mama yako..............nakwambia koma we binti. Halafu unataka kuwapiga chabo wanaume ili upate nini? utabeba mimba za utotoni unitie aibu niimbwe kwenye matamasha ya Michiriku hapa mtaani./
Kwanza sitaki udadisi wako. tutaongea nyumbani jioni..................Duh! mtoto balaa sana weye......................
 
Wewe sasa unataka kunivurugia ndoa yangu na mama yako..............nakwambia koma we binti. Halafu unataka kuwapiga chabo wanaume ili upate nini? utabeba mimba za utotoni unitie aibu niimbwe kwenye matamasha ya Michiriku hapa mtaani./
Kwanza sitaki udadisi wako. tutaongea nyumbani jioni..................Duh! mtoto balaa sana weye......................
Ok baba nimekoma but naomba kukujibu swali lako,
Nataka kuwachungulia ili na mie nione ule UTUKUFU ulioona kwa dada Glady ulipomchungulia!!!!
 
Mkasa huu ulinipata Mwaka 1999, nakumbuka nilikuwa katika kuhangaika kutafuta kibarua, nilijikuta nikiwa kwenye ofisi moja ya jamaa yake kaka. Nilifika hapo baada ya kaka yangu kuzungumza na huyo jamaa yale kuhusu ajira. Ilikuwa nikamwone ili kuona uwezekano wa kupewa ajira. Nilifika hapo ofisini kwa jamaa yake kaka kiasi cha saaa 2.15 asubuhi. nilipofika mapokezi, ambapo pia palikuwa panatumika kama ofisi ya watumishi wengine, nilikuta watu watano, wote wanawake. Mwanaume alikuwa mmoja, ambaye wakati naingia, naye alikuwa anatoka.

Nilisalimia na kumwambia katibu muhtasi shida yangu, ambapo aliniambia nikae kumsubiri bosi, ambaye kwa kawaida anafika pale ofisini saa tatu asubuhi au zaidi. Nilikaa kando kwenye makochi. mbele yangu kulikuwa na mwanamke ambaye alikuwa anafanya kazi zake. Alikuwa amekaa kihasara kwa kweli. Akiwa amevaa gauni fupi, alikuwa amaeachia mapaja yake wazi na niliweza hata kuona kule kunako utukufu bila wasiwasi. Nikiwa kijana shababi niliamua kufaidi sinema ile ya bure katika kupitisha muda kumsubiri bosi. Kwa hiyo nikawa napiga jicho kwenye mapaja yake ya haja maana mwanamke mwenyewe alikuwa ameumbika hasa. Nikiona yule dada ananitazama, navunja shingo na kujifanya simtazami yeye.

Niliendelea na sinema ile kama robo saa tu kabla yule dada hajaacha kufanya kazi yake. Alichukua kiti chake na kukitoa kutoka kwenye meza na kuja nacho karibu na makochi nilipokuwa nimekaa. Sikujua anafanya vile kwa sababu gani. Alipokiweka kiti kile pale mbele yangu, alipandisha gauni lake fupi hadi juu kabisa. Alipomaliza kufanya hivyo alikaa kitini huku akinitazama. Wale wanawake wengine pale ofisini waliacha kufanya kazi na kushikwa na mshangao. ‘Vipi mwenzetu, kuna nini kumekupata?’ Mmoja kati yao alimuuliza yule dada. ‘Nataka ayatazame mapaja na vingine kwa karibu ili afaidi sana. Naona anapata shida kuibaiba, haya tazama baba uridhishe nafsi yako.’

Kila mmoja alielewa maana yake, nikiwemo mimi. Ni kweli, nilikuwa ninamtazama kwa hila, lakini haina maana kwamba, nilikuwa namchungulia. Nilibaki nimeduwaa, nimepigwa na butwaa kubwa sana. Mmoja kati ya wale wanawake alisema, ‘dada Glady naye haishi vituko, hebu mwache kijana wa watu...’ mwingine alidakia, ‘utamweza Glady vituko vyake basi!’ yule mwanamke ambaye sasa nilijua anaitwa Glady alisema, ‘hapana, wanaume wengine bwana hawana adabu, macho wayuwayu sana. Nataka kiu yake iishe leo. Hebu cheki sasa uridhike.

Mlio wa gari la bosi wao ndiyo ambao uliniokoa kutoka katika kadhia ile. Aliposikia mlio huo wa gari, aliinua kiti chake na kurudi mezani pake huku akisema, ‘bahati yako, ungeniambia leo, nini kinang’aa zaidi, nyota au mbalamwezi.’

piga chabo for a reason..
 
Haha eti nini kinang'aa zaid kati ya mwezi na nyota, kweli kuna wanawake wana vituko...Lakini naye dogo alikosea kitu kimoja...Angesema mbona navyo fahamu mimi, Jua ndo linang'aa zaidi afu lina choma sana .
 
Nimempenda huyo dada manake kweli alikuweza....hayo ndio madhara ya kuwa na macho kodo, kodo... Ulikuwa unamtizama ili iweje?...lol
 
Ungemwomba akuvulie na chupi kabisaaaaaaaaa ili uone vizuri! Au hakuvaa hiyo kitu? Maana kuna watu huwa hawavai cku hizi chupi wanapoenda makazini, eti joto ni kali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kiukweli alifanya vzuri japo alitakiwa akuite faragha akuonyeshe bila chenga ili ujue kipi kinachongaa zaidi kati ya jua na mbalamwezi
 
Back
Top Bottom