Masumbuko r bilali
Senior Member
- Dec 27, 2012
- 158
- 35
tafadhali mwenye fununu juu ya ajira za ualimu zinatoka lini anisaidie.
Bila shaka umesubiri umechoka! be patience, kwan myaka yote uwa znatoka lin?
This is not a proper english
mwaka huu hawaajiri kabisa labda mwakani,tena kama ndo certificate au dipl bora ukatafute mtaji ukalime kijijini
January
Serikali ilishatangaza kuwa ajira zamkupuo za walimu zimesitishwa 2015. Watatoa ajira chache kuanzia march. Hii ni kutokana na statistics za wizara husika kuwa walimu kwa sasa wametosha ila ajira zitakazotolewa zitatokana na walimu waliopo kazini kufariki,kuacha kazi,kufukuzwa kazi au kustaafu..na mfumo uliopo sasa kuanzia mwaka 2015 ni kwamba walimu wote wataomba nafasi kupitia utumishi kama kada zingine.
This is not a proper english