Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

Status
Not open for further replies.
Bila shaka umesubiri umechoka! be patience, kwan myaka yote uwa znatoka lin?
 
Kwasababu ya uchaguzi tutawaajiri mapema ili mtupe kura, subri mwezi wa pili mwanzoni.
 
mwaka huu hawaajiri kabisa labda mwakani,tena kama ndo certificate au dipl bora ukatafute mtaji ukalime kijijini



mkuu hebu angalia statistics za ajira za waalimu wanaokosa huwa ni degree but diploma wanaajiriwa wote yani wakibaki ni wachache na awamu inayofuata ndio wanaaza kupata. hadi nkajiuliza why?
 
Serikali ilishatangaza kuwa ajira zamkupuo za walimu zimesitishwa 2015. Watatoa ajira chache kuanzia march. Hii ni kutokana na statistics za wizara husika kuwa walimu kwa sasa wametosha ila ajira zitakazotolewa zitatokana na walimu waliopo kazini kufariki, kuacha kazi,

Kufukuzwa kazi au kustaafu.. na mfumo uliopo sasa kuanzia mwaka 2015 ni kwamba walimu wote wataomba nafasi kupitia utumishi kama kada zingine.
 
Serikali ilishatangaza kuwa ajira zamkupuo za walimu zimesitishwa 2015. Watatoa ajira chache kuanzia march. Hii ni kutokana na statistics za wizara husika kuwa walimu kwa sasa wametosha ila ajira zitakazotolewa zitatokana na walimu waliopo kazini kufariki,kuacha kazi,kufukuzwa kazi au kustaafu..na mfumo uliopo sasa kuanzia mwaka 2015 ni kwamba walimu wote wataomba nafasi kupitia utumishi kama kada zingine.

hii ni SEDEP II ambapo mwisho wake ni 2015. kwa hesabu hii mwaka huu ajira zitatolewa ila mwakani ndio kunakuwa na mashaka maana hakuna SEDEP III

CHA pili bajeti ya kuwaajili walimu mwaka huu ilishapitishwa katika mwaka wa fedha wa serikali. hivyo ajira zipo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom