Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,743
11,116
Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya.

Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-04-07-14-57-41.png
    Screenshot_2024-04-07-14-57-41.png
    544.3 KB · Views: 7
hakuna cha feki wala nini ajira zitatoka hivyo hivyo Poor Brain To yeye dronedrake Intelligent businessman 18,750 mtakuja kunishukuru zikitoka idadi hii ndio utajua nchi hii kuna watu waina tatu π–πžπ§π²πž 𝐧𝐜𝐑𝐒, 𝐰𝐚π₯𝐚 𝐧𝐜𝐑𝐒, 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐑𝐒(𝐰𝐚𝐀𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐬𝐒)
 
hakuna cha feki wala nini ajira zitatika hivyo hivyo Poor Brain To yeye dronedrake Intelligent businessman 18,750 mtakuja kunishukuru zikitoka idadi hii ndio utajua nchi hii kuna watu waina tatu π–πžπ§π²πž 𝐧𝐜𝐑𝐒, 𝐰𝐚π₯𝐚 𝐧𝐜𝐑𝐒, 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐜𝐑𝐒(𝐰𝐚𝐀𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐚𝐬𝐒)
Mi nakushukuru sasa hivi mkuu..
Hiyo badae ntakua nisha changanyikiwa na futari
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Unaupiga mwingi sana mkuu
Mama anaupiga mwingi
Na wewe pump unaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom