Ajira ya mrema wa tanroads yafikia kikomo

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
ajira ya mtendaji mkuu wa Tanroads yafikia kikomo na anatakiwa kukabidhi ofisi kwa mapema iwezekanavyo.
 
ajira ya mtendaji mkuu wa Tanroads yafikia kikomo na anatakiwa kukabidhi ofisi kwa mapema iwezekanavyo.
BTW
Ijumaa ni kesho
Hizi sio ishu za weekend?
Lete source bana tuanze kuwaga matirio hapa
 
Sijaielewa hii vizuri bado, what so special na huyu bwna.:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
Lol! Mrema apelekwe mahakamani akajibu tuhuma zinazomkabili na kisha ahukumiwe na afilisiwe mali zote alizojipatia kwa kuhujumu uchumi ili iwe fundisho kwa wengine.
 
next..............mtasikia either PS Miundo Mbinu au Balozi............tumchague Dr. Slaa ili watu kama akina Mrema washughulikiwe...........
 
Back
Top Bottom