isanzu ng'wamzai
Member
- Jan 3, 2014
- 24
- 4
uhamiaji waliacha kuchukua professionals kwasababu walikuwa wanakimbia mazoezi. Sasa wanachukua jkt but really,, kwa ushauri omba kwa chet cha form four au six kama unacho. Ukishamaliza kozi ccp ndio unaweza kurelease chet chako cha bachelor degree. Wengi wamefanikiwa mwaka jana kwa njia hiyo wakiwepo walimu.