Ajira Idara ya Uhamiaji Tanzania...

Statistics

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
3,173
6,514
Amani na salaama wanajamvi.

Pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.

Nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration? Namalizia BAED ya UDSM..

Nawasilisha.
 
wewe subiri ukafundishe KIGURUNYEMBE SECONDARY achana na maswala ya UHAMIAJI! "Ni hayo tu"
 
Mbona mnamkatisha tamaa huyu jamaaa???? Wewe omba kwa kutumia cheti cha form six then ukishapata kazi unawasilisha nondo zako
 
unawivu wewe!

wivu kukwambia ukweli!!???
BAED anaeingia ni mchongo tu... mie mwenyewe ni mwana BAED.. Na nipo sector nyngne i know th situatio dude... tusidanganyane kwa njia halali hupati kazi huko kwengine.
 
najuo kuongea na kuandika kwa ufasaha kiswahili na kingereza. pia kisukuma na kinyamwezi....nikifanya nikiishi na makabila ya kibantu huwa naanza kuwaelewa ndani ya siku3 kama wanakiongea muda wote... nimefanya hvo kwa wahaya, waha, wajita.

am i qualified?
 
Mkuu tulia wewe nenda kafundishe uinue elimu ya Tanzania... Kila la kheri ticha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
uhamiaji nafasi zao huwa hawabagui wenye shahada but wanachukua watu wachache sana. Mfn mwaka juzi wamechukua watu 50 tu na wanapelekwa kwanza ccp wanapiga depo na mapolisi then ndo unaanza kazi
 
Back
Top Bottom