ajira fasta

dbrane

Member
Jul 23, 2012
31
5
jaman asilimia kubwa ya graduate wengi hawana kaz ili kuwasaidia jaman msichague kaz, kuna ajira za kujiskiza ka customer care hasa kwa tigo, airtel voda na zantel. Kwa kusaidia nenden airtel moroco recruiting agency agency wao ni spanco raps uliza kwa askari atakuelekeza. Wanahitaji wahitimu wa 4m 6 na kuendelea. Kuhusu tigo voda na zantel. Kaz kwenu
 
SPANCO wanalipa 250000 gross na mnakua si waajiriwa wa AIRTEL bali hao wahindi. Ni noma aise
 
Tueleze vizuri mkuu ili tukienda tunaenda kamili, ni nini zaidi unatakiwa kuenda nacho?
 
Yan kama ndio yule muhind alo2fanyia sisi intavyu afu anasema namba fulan fulan and fulan stand up go out and waliobak mmepita..bas itakua hatar cna ham nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom