vp jaman hivi ajira za customer cares kwenye mitandao yetu ya cm zinakwendaje? Airtel wapo na spanco, ila kupata balaa, cjui tigo voda na zantel hali ikoje. Wana jamvi tujuzane kuhusu hz position.
KAMA HAUMJUI MTU BASI MUOMBE MUNGU SANA otheryz wanaoshikwa mkono na cv hawa2mi HARD COPY ndio wanaziopata.
Haswaaaa,.....bt airtel at least coz wa2 wanaacha kila cku
Yale yaleeeeare u? compentent enough to work at call center please ni pm
sasa ndio nini minataka kusaidia watanzania wenzangu,alafu we unaleta za kuleta hapa! tatizo hambebekiYale yaleeee
Sawa mkuu nakuomba radhi kwa kukukwaza.sasa ndio nini minataka kusaidia watanzania wenzangu,alafu we unaleta za kuleta hapa! tatizo hambebeki
are u? compentent enough to work at call center please ni pm
obama tubebe mwaya huku hali tete!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!bala.Obama,tubebe 2 mkuu....hali ni tete huku mtaani
Haswaaaa,.....bt airtel at least coz wa2 wanaacha kila cku
mimi ni mmoja wapo nilipiga AIRTEL CUSTOMER CARE, kazi yake si ya kitoto hasa shift za usiku. wananyanyasa
Lakini, .....mtumikie kafiri upate ujira wako.
are u? compentent enough to work at call center please ni pm