Ajira 70000 serikali zaanikwa ,zitaanza kutoka mwezi February 2017

Nasikia mchana huu ajira za walimu na afya Tamisemi wametangaza ni kweli? Au ndo hizi 70,000 wameanza kuzitolea mgawanyo?
 
Hizo ni abrakadabra tu kuna batch kibao mtaani zinasota since Wa mwaka Jana na wasipotoa mwakani kuna batch ya tatu inaingia Kitaa litakuwa Bomu la ajira
 
Ajira za marubani mbona zimetangazwa hata miezi 2 haijapita, jaribu kupita pita ATCL kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea na kama wewe una CV nzuri inayohusu masuala ya Ndega hukosi kazi.
- Tatizo kubwa la vijana wa nchi yetu kutawaliwa na siasa - kujifanya kila mtu mwanaharakati, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii - Mtu mwenyewe ukimwangalia hana taaluma yoyote wala ufundi wowote mpaka anakaribia kufikia miaka 30.Yaani hata viwanda vikija kujengwa watajaa wahindi tu na wakenya.Wabongo wataambulia kazi ya ulinzi tu ndio wanayoweza.Sasa wewe inawezekana ulijikita kukososa na kutukana panagboi badala ya kuangalia fursa za ajira.

USHAURI:Vijana wenzangu punguzeni kusoma magazeti ya propaganda - angalieni na fursa za kiuchumi, Someni Daily News,Habari Leo,Gazeti la Uhuru,Mwanachi.Sikilizeni TBC.Vituo hivi haviepukiki kwa kijana yoyote anaetaka ujenga msingi mzuri wa mambo yake - Maana mipango mingi ya serikali inachapishwa huku zikiwemo ajira na matangazo mengi muhimu.
- Magazeti na media za propaganda soma,lakini soma ukiwa na akili zako timamu ila Usizidi kiasi.
Uhuru!! hata kama ni kazi ya uwaziri,wacha niikose lakini sio kusoma Uhuru!
 
Ngoja tutoe copy za kutosha za vyeti pia tupige picha za pasport za kufa mtu
Kwani hayo mambo siku hizi yapo, me najua kuna system ya utumishi, ambayo una create your account unable upload you certificates basi, application unazifanyia huko mambo hayo photocopy yalishapitwa na wakati
 
Kila kitu kitajulikana
 
Kama bado kuna kijana ana matumaini na hii serikali apimwe akili. Hawana huo uwezo wa kuajili hao watumishi hawana kabisa tafuteni ishu zingine za kufanya.
 
Ajira za marubani mbona zimetangazwa hata miezi 2 haijapita, jaribu kupita pita ATCL kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea na kama wewe una CV nzuri inayohusu masuala ya Ndega hukosi kazi.
- Tatizo kubwa la vijana wa nchi yetu kutawaliwa na siasa - kujifanya kila mtu mwanaharakati, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii - Mtu mwenyewe ukimwangalia hana taaluma yoyote wala ufundi wowote mpaka anakaribia kufikia miaka 30.Yaani hata viwanda vikija kujengwa watajaa wahindi tu na wakenya.Wabongo wataambulia kazi ya ulinzi tu ndio wanayoweza.Sasa wewe inawezekana ulijikita kukososa na kutukana panagboi badala ya kuangalia fursa za ajira.

USHAURI:Vijana wenzangu punguzeni kusoma magazeti ya propaganda - angalieni na fursa za kiuchumi, Someni Daily News,Habari Leo,Gazeti la Uhuru,Mwanachi.Sikilizeni TBC.Vituo hivi haviepukiki kwa kijana yoyote anaetaka ujenga msingi mzuri wa mambo yake - Maana mipango mingi ya serikali inachapishwa huku zikiwemo ajira na matangazo mengi muhimu.
- Magazeti na media za propaganda soma,lakini soma ukiwa na akili zako timamu ila Usizidi kiasi.
Yaani wewe unawaambia wenye akili timamu wasome Uhuru ili wapate credible news? Uko sawa kweli?
 
Back
Top Bottom