Ajira 70000 serikali zaanikwa ,zitaanza kutoka mwezi February 2017

Yaani Serikali iajiri watumishi 70,000 kwa mara moja? thubutu! Uchumi wa kuhimili hilo umetoka wapi? Kama hamna data, tafuteni. Angalieni ni kiasi gani Serikali inakusanya kwa mwezi, kisha tafuta wage bill yetu kwa mwezi ili ujue mishahara inakula asilimia ngapi ya pato letu kwa mwezi. Namba huwa hazidanganyi......Acheni kujitekenya na kisha mnacheka wenyewe, mnapotezeana muda bure.
Kwa walimu na madaktari inawezekana maana huwa wanaajiriwa kwa mkupuo
 
Ajira za marubani mbona zimetangazwa hata miezi 2 haijapita, jaribu kupita pita ATCL kuna mabadiliko makubwa sana yanaendelea na kama wewe una CV nzuri inayohusu masuala ya Ndega hukosi kazi.
- Tatizo kubwa la vijana wa nchi yetu kutawaliwa na siasa - kujifanya kila mtu mwanaharakati, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii - Mtu mwenyewe ukimwangalia hana taaluma yoyote wala ufundi wowote mpaka anakaribia kufikia miaka 30.Yaani hata viwanda vikija kujengwa watajaa wahindi tu na wakenya.Wabongo wataambulia kazi ya ulinzi tu ndio wanayoweza.Sasa wewe inawezekana ulijikita kukososa na kutukana panagboi badala ya kuangalia fursa za ajira.

USHAURI:Vijana wenzangu punguzeni kusoma magazeti ya propaganda - angalieni na fursa za kiuchumi, Someni Daily News,Habari Leo,Gazeti la Uhuru,Mwanachi.Sikilizeni TBC.Vituo hivi haviepukiki kwa kijana yoyote anaetaka ujenga msingi mzuri wa mambo yake - Maana mipango mingi ya serikali inachapishwa huku zikiwemo ajira na matangazo mengi muhimu.
- Magazeti na media za propaganda soma,lakini soma ukiwa na akili zako timamu ila Usizidi kiasi.
huoni aibu nani asome hayo magazeti au unadhani wote ni wa buku 7 kama ww?
 
Je niwangapi wataajiriwa wenye GPA za 3.8 kama itakuwa ndo kigezo cha kuajiriwa? Hizo ajira imekuwa jipu tena linalazmishwa kutumbuliwa wakati halijaiva!

Pia kama ni kweli kuwa wale WALIOSITISHIWA AJIRA zao June 2016 kuwa zmefutwa na wahusika kuomba upya ajira ziktoka kulingana na sifa zao hakika hii ni Kali ya mwaka, kosa la hawa watu ni nn? Waliaply, wakaitwa usaili, wakaitwa kazn, wakasain mikataba, wakapangiwa vituo vya kazi, wakaanza kazi na badae wakapewa barua kusitishwa AJIRA zao kwa muda, leo wanatoa taarfa za kuwafut kazi hiv hii nchi inafata sheria na katba ya nchi kweli?

Mwanzo tunaujua tunasubr mwsho wake tuone!
 
Nkanga chief amesubr kuedshwa kazn maana ni mhanga kati yawaliositishiwa ajira June 2016!
 
Back
Top Bottom