georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,870
Kwa kuwa ajali za kutisha hasa za mabasi ya abiria zinazidi kuteketeza maisha ya Watanzania kuna haja jeshi la polisi baada ya mabadiliko ya sheria za barabarani litumie askari wake kuendesha magari haya ya abiria badala ya madereva wa kiraia wanaovunja sheria za barabarani kila siku hali inayosababisha kutokea ajali hizi kila siku.
Ninatumaini makamanda wa polisi wa kila mkoa wataweka utaratibu wa askari wao kuendesha mabasi haya ya abiria.Ni ukweli usiopingika iwapo askari wakitumika kuendesha mabasi ya abiria uwezekano wa kutokea ajali ni mdogo.Utaratibu huu uwekwe kwa magari ya njia ndefu na mwendo uwe kilometa 50 kwa saa.
Hivyo jeshi la polisi lifanye mazungumzo na wamiliki wa magari ili wawaachie jukumu la udereva wa mabasi yao ili kupunguza ajali.
Km 50kwa saa .ikiwa hivyo dar mwanza ni masaa zaidi ya ishirini ;hii itakuwa haijakaa sawa

Acha mambo ya kipush. which is better lufika Mz baada ya siku mbili au kukatika mguu na kulazwa Bugando
Acha mambo ya kipush. which is better lufika Mz baada ya siku mbili au kukatika mguu na kulazwa Bugando[/QUOTEhata wastani wa spidi inayotakiwa ni 80km/h sasa 50 wapi na wapi
Kwa kuwa ajali za kutisha hasa za mabasi ya abiria zinazidi kuteketeza maisha ya Watanzania kuna haja jeshi la polisi baada ya mabadiliko ya sheria za barabarani litumie askari wake kuendesha magari haya ya abiria badala ya madereva wa kiraia wanaovunja sheria za barabarani kila siku hali inayosababisha kutokea ajali hizi kila siku.
Ninatumaini makamanda wa polisi wa kila mkoa wataweka utaratibu wa askari wao kuendesha mabasi haya ya abiria.Ni ukweli usiopingika iwapo askari wakitumika kuendesha mabasi ya abiria uwezekano wa kutokea ajali ni mdogo.Utaratibu huu uwekwe kwa magari ya njia ndefu na mwendo uwe kilometa 50 kwa saa.
Hivyo jeshi la polisi lifanye mazungumzo na wamiliki wa magari ili wawaachie jukumu la udereva wa mabasi yao ili kupunguza ajali.
Waulize polis kwa mini wakisimamisha basi dereva Na konda hushuka Na huzunguka nyuma hivi huko NGO injini ya ukauguzi Ndo ilipo
Kwa kuwa ajali za kutisha hasa za mabasi ya abiria zinazidi kuteketeza maisha ya Watanzania kuna haja jeshi la polisi baada ya mabadiliko ya sheria za barabarani litumie askari wake kuendesha magari haya ya abiria badala ya madereva wa kiraia wanaovunja sheria za barabarani kila siku hali inayosababisha kutokea ajali hizi kila siku.
Ninatumaini makamanda wa polisi wa kila mkoa wataweka utaratibu wa askari wao kuendesha mabasi haya ya abiria.Ni ukweli usiopingika iwapo askari wakitumika kuendesha mabasi ya abiria uwezekano wa kutokea ajali ni mdogo.Utaratibu huu uwekwe kwa magari ya njia ndefu na mwendo uwe kilometa 50 kwa saa.
Hivyo jeshi la polisi lifanye mazungumzo na wamiliki wa magari ili wawaachie jukumu la udereva wa mabasi yao ili kupunguza ajali.
mtoa maada serikali ikifanya hvyo ujue hata uchumi wa nchi utashuka...
Hivi umewahi kujiuliza kwann kitengo cha trafic hakifuatiliwi na serikali pamoja na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi?
Askari wa trafic huingiza pesa nyingi sana serikalin zaidi hata kuliko TRA. Nakupa sample hii.
Kila trafic kwasiku lazma aandikishe makosa matatu ya barabaran ambayo yanatakiwa kutozwa fain ya tsh. 30000. Kwamaana hyo kila trafik lazma aingize shilingi elf 90 kwa siku. Hyo ni lazma. Ukiachilia mbali mengne ambayo anaweza kuzidisha. Hebu piga hesabu kuna trafic wangap Tz hii?