Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega, inaaemekana chanzo cha ajali ni speed ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha.
==== Picha za ajali ====
Taswira ya Lori la mizigo lililogongana na gari ndogo ya abiria.
Gari ndogo ya binafsi ikiwa nyang'a nyang'a na kupelekea umauti wa watu wawili
Maiti ikiwa inatolewa eneo la ajali.
Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza