Ajali mbaya yaua watu wawili Nzega

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega, inaaemekana chanzo cha ajali ni speed ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha.

Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza

==== Picha za ajali ====

attachment.php

Taswira ya Lori la mizigo lililogongana na gari ndogo ya abiria.

attachment.php

Gari ndogo ya binafsi ikiwa nyang'a nyang'a na kupelekea umauti wa watu wawili

attachment.php

Maiti ikiwa inatolewa eneo la ajali.
 
Attachments

  • IMG-20141224-WA0205.jpg
    IMG-20141224-WA0205.jpg
    44 KB · Views: 22,115
  • IMG-20141224-WA0203.jpg
    IMG-20141224-WA0203.jpg
    57.2 KB · Views: 83,532
  • IMG-20141224-WA0204.jpg
    IMG-20141224-WA0204.jpg
    51.8 KB · Views: 6,250
Pole kwa wafiwa. Mleta taarifa hizi umeacha maswali mengi tu kwa wasomaji wako. Chanzo cha ajali nk, anyway santw kwa taarifa
 
Pole kwa wafiwa. Mleta taarifa hizi umeacha maswali mengi tu kwa wasomaji wako. Chanzo cha ajali nk, anyway santw kwa taarifa

chanzo ni mvua kubwa inayoendelea kunyesha na speed ya kubwa kwa dereva aliyekuwa anaendesha gari dogo..
 
chanzo ni mvua kubwa inayoendelea kunyesha na speed ya kubwa kwa dereva aliyekuwa anaendesha gari dogo..
Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza
 
Mkuu Crashwise ni dakika 3 zilizopita nimeiona hiyo gari hapo karibu na Ziba,daah gari ndogo imechakazwa balaa,hichi kigari kilikuwa kinakimbilia Burundi,pamoja na speed ila mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji.Poa nenda zangu Mwanza

Mwenyenzi Mungu na awatangulie daima Best

Wale waliopatwa na mauti Bwana awape mapumziko ya milele pale shambani mwake milele na hata milele!
 
Poleni sana.

Tunashukuru kwa taarifa.

Tuwe makini sana na vyombo vya moto kipindi hiki, bora ukawie ila ufike salama
 
Kaama macho yangu yapo vizuri hiyo ni Mark X jamaaa alikuwa speed ya ajabu maana hapo hakuna cha kioo ingime,gear box wala mlango ulobaki!
 
Msimu wa ajali umeanza jamani tuwe makini barabarani watu wengine akili zao kama ziko likizo hivi usipokimbiza gari hufiki
 
Kuna mwana jf mmoja aliandikaga uzi ya kuwa watanzania wengi tunakufa kwa vifo vinavyosababishwa na ajali, kwa ajali hii tutakubali

Marehemu wote wa rest in peace
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom