Ajali Kyaka, Kagera: Basi la Sabuni na gari ndogo ya Kanisa yagongana, Watu wapoteza maisha

RIP marehemu,

Maskini, nasikia kuna padre mmoja kapata upadirisho juzi juzi.

Kweli kifo hakina huruma!
 
Ajali mbaya imetokea eneo la Bugorora Kyaka leo, inahusisha Basi la kampuni ya Sabuni lililokuwa likitokea Karagwe na Land Cruiser ya Kanisa.

Taarifa za hawali zinasema watu si chini ya watano wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio.

Daa! Hizi ajali zinasikitisha saana.
 
Asbh ya leo nilimpata mgeni ambaye ni mtawa ofcn kwangu. Ndani ya muda mfupi alipokea simu na kuanza kulia. Nilipomuuliza alinipa taarifa za hiyo ajali na bahati mbaya padri mmoja aliyefariki ni binamu yake. Walikuwa wanakwenda kwenye upadrisho. Namfahamu padri Mwelinde. Mungu awapumzishe kwa amani.
 
Padri Michael Mwelinde, alikuwa mwalimu wangu wa kilatini huyu. Yeye pamoja na marehemu wote walazwe pema peponi!
 
Very sad indeed. Mimi nimeisikia leo kwenye misa ya asubuhi kanisani. May their Souls RIP.
 
Back
Top Bottom