Ajali Kyaka, Kagera: Basi la Sabuni na gari ndogo ya Kanisa yagongana, Watu wapoteza maisha

Mapadre 3 sister 1 na mwingine wa Seminary ya Katoke. R.I.P AMINA

Mkuu siyo Mapadre watatu bali Mapadre walofariki ni Wawili,Sista mmoja na Mseminari mmoja wa Seminari ndogo ya Katoke.Padre mmoja pamoja na majeruhi wengine wanaendelea Vizuri na matibabu.
 
RIP marehemu,

Maskini, nasikia kuna padre mmoja kapata upadirisho juzi juzi.

Kweli kifo hakina huruma!

Hapana mkuu!,Hao waliokufa ndio walikuwa wanakwenda kwenye Misa ya Shukrani ya huyo Padre Mpya,hivyo huyo Padre mpya hakuwepo kwenye hilo gari bali alikuwa yupo Parokiani alikozaliwa tayari kwa kufanya Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani.
 
Ahsante kwa taarifa. Nilipata taarifa kutoka kwa mtu wa Kishoju. Naona haikuwa sahihi.

Mazishi ni lini?
 
Raha ya milele uwape ee bwana...... na mwanga wamilele uwaangazie... wapumze kwa Aman. AMAN
 
Back
Top Bottom