Mungu amsaidie na apone haraka........
Hata hivyo nashangazwa na wasiwasi aliouonyesha Domo Kaya kuhusu ugonjwa wa huyu dada mpaka kufikia hatua ya kuongelea suala la yeye (Aisha) kwamba alishapima ngoma. Je linakuhusu nini? Au ulishawahi kuwa mshika dau?
Nakushauri ukapime haraka ili upange mipango yako mapema badala ya kuendelea kuwa na wasiwasi.
Sawa ndugu doctor, naumwa nini??? na wewe unaumwa nini??????
Kuvimba sana sana ni kwa sababu mtu anaretain maji mwilini...and ku retain maji ni kwa sabau ya HBP... Oedema haswa kwenye miguu.
Kwani sio maradhi ya kushangaza!!! Akapime HBP halafu na sukari (diabetes)
Shukrani mkuu hizo ndio nondo nilizokuwa nazisubiri.Ngoma inaweza kusababisha heart condition i.e cardiomyopath ya aina ya Infectious cardiomyopathy..ambayo inaweza tokana na infection yeyote kati ya hizi; HIV, Lyme disease, Chagas disease, viral myocarditis, and other infections can cause this condition.
Hii kitu itapelekea weaken of heart muscles, mitrial or/and aortic stenois, valves prolapses e.t.c na kupelekea mgonjwa kupata Congestive heart Failure (CHF)...ambayo itasababisha edema kwa lower ext(s), dyspenia e.t.c.......
Kuna mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa wa kuvimba miguu kwa huyo dada!! Lakini ndugu Kang, hii ilikuwa ana attempt kukuonyesha kwamba ngoma huwezi ukai-rule out hasa tokana na umri wa huyo dada...
Kama una ubavu, soma hiyo article hapo chini ya hao Wahindi wa UCSF (University of California, San Fransisco)! Case yao imetoka kwa "neighborhood" hapo Uganda...paper imetulia, take your time isome yote kwa uzima wake...
hivinsite.ucsf.edu/InSite?page=md-ccl-ca-06]Case 6: Lower Extremity Edema and Dyspnea[/B]