Aisha madinda anaumwa nini?

Domo Kaya

JF-Expert Member
May 29, 2007
531
59
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua dada yetu???

Mungu atakusaida dada yetu upone na uendelee na shughuli zako kama kawaida.
 
Ungeanza kwanza kuwa na wasiwasi wa wewe kupotea. Hakuna atakayeishi milele hata awe na afya nzuri kiasi gani. Aisha nakuombea upone upesi.
 
Ungeanza kwanza kuwa na wasiwasi wa wewe kupotea. Hakuna atakayeishi milele hata awe na afya nzuri kiasi gani. Aisha nakuombea upone upesi.

Mama bwana! nimecheka kweli maana humkawizi mtu mwenye dalili dalili za udaku!
 
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua.

Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi.

Kuvimba sana sana ni kwa sababu mtu anaretain maji mwilini...and ku retain maji ni kwa sabau ya HBP... Oedema haswa kwenye miguu.

Kwani sio maradhi ya kushangaza!!! Akapime HBP halafu na sukari (diabetes)
 
hehe, kuvimba miguu nayo ni dalili ya ngoma jamani?
 
YNIM si ulikariri li PCB lote ni nini causes ya kuvimba miguu?
 
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua.

Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi.

WEWE kweli mdaku, kwani bila ngoma hakuna ugonjwa mwingine? sasa sijui unatakiwauambiwe ni ugonjwa gani na humu sijui kama kuna mtu kampima.
 
Kwani udaku sio habari?????? mbona wewe umeisoma. Acha hizo.

Tatizo la udaku wako wewe unataka kujifanya Sheikh Yahya Yaani kutabiria watu watakufa kama mtu fulani, na hata ku-speculate magonjwa yanayo wasumbua watu wakati wewe hujafanya vipimo vya kisayansi. Na huo ndiyo Udaku ninaozungumzia mimi. Yaani ni habari za kufinyangafinyanga au tunaita "Gotcha".
 
Wapi ambapo nilisema mimi ni Sheikh Yahaya, wewe ndio MDAKU mimi nimeuliza vingine na wewe kujidai unajua kusema umeshaanza ooh udaku, udaku nao habari. Mbona wewe imekuuma sana!!!!!! Delete mada basi ili usiumie sana.
 
Original post by WomanofSubstanc:

Mama bwana! nimecheka kweli maana humkawizi mtu mwenye dalili dalili za udaku!

Huyu Mbona kasema wewe unadalili za kidaku daku Hukumjibu? au yeye kasema kweli?

Original post by Domo Kaya:

Kwa sisi wapenzi wa muziki wa dansi tunawasiwasi wa kumpoteza mnenguaji maarufu huyu kama tulivyo mpoteza Mrs Nyoshi

My take:
Huu ndiyo U Sheikh Yahya niliyousema wewe unawasiwasi wa kumpoteza kama Mrs Nyoshi, we unajuaje kama ni wewe au Aisha ndiyo atapotezwa, Wewe una bima au mkataba wa kuishi milele?, je wewe una uhakika 100% uko fit?. Hapo wewe ulilopaswa kusema ni kumuombea Aisha mungu amsaidie apone na siyo kwenda kwenye kuspeculate kifo kama mtabiri wa nyota.
Original post by Kandambilimbili:

WEWE kweli mdaku, kwani bila ngoma hakuna ugonjwa mwingine? sasa sijui unatakiwauambiwe ni ugonjwa gani na humu sijui kama kuna mtu kampima.
Huyu nae amekuita wewe mdaku hukumjibu au yeye kasema ukweli? pia?

Original post by Domo Kaya:

Wapi ambapo nilisema mimi ni Sheikh Yahaya,
Hii ni kwa kujifanya wewe mtabiri sana na ku-speculate the worse to come for others

wewe ndio MDAKU mimi nimeuliza vingine na wewe kujidai unajua kusema umeshaanza ooh udaku, udaku nao habari. Mbona wewe imekuuma sana!!!!!! Delete mada basi ili usiumie sana.
Wewe ndiyo imekuuma sana Domo Kaya kwani umeipotosha mada yako mwenyewe. Unatakiwa kutambua kuwa mimi sina uhusiano wowote na Aisha, Ila kama binadamu mwenye upendo siwezi ku-speculate kifo cha mtu, ninachofanya ni kumuombea kila mwanadamu mwenzangu maisha marefu na uzima kwani kama ni kifo sisi wote tupo kwenye foleni na kila mtu ataondoka kwa wakati muafaka aliopangiwa na mwenyezi mungu
 
Last edited:
Mwenyezi mungu amhafu (ammpe uzima) bi aisha madinda mbegu ili aweze kuendelea na shughuli zake kama kawaida.... Amen.
 
YNIM si ulikariri li PCB lote ni nini causes ya kuvimba miguu?

Inawezekana ana aina flani ya elephantiasis....

Ila Aisha bonge la totoz jamani....I've been lusting for her ever since I've known of her.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom