Airtel, kwani siku ina masaa mangapi?

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Nimenunu ile bundle ya sh. 3000 kwa siku na nikapewa MB300 kwa siku nzima. Nimenunu saa moja jioni na kutumia usiku hadi saa tano nikacheki balance bado kulikuwa na MB120. Sasa nimeamka asubuhi ku-connect kitu kinakataa ati sina salio. Kwa nijuavyo mimi siku ina saa 24. Leo nimenunua tena asubuhi nataka nione kitaishia wapi.
 
kumbe siku ya airtel ina saa 10 tu, kama hujamlizia bundle unakuta imeisha........
 
Mhhh mie nagonga tigo bureeee nakama mwezi wa tatu now hata line ikiwa haina salio mi nabamiza tu.
Nataka nione mwishowake itakuwaje??
 
Back
Top Bottom