Airtel Free Internet (200mb) kila usiku

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Jun 2, 2011
194
39
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure!Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!

Arigato!

Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!
 
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi! Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure! Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!

Arigato!

Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!

Mkuu ni ya kwl unayoyasema? coz mie nakumbuka offer kama hii ilishawahi kuepo na ilikuwa lazima uongeze salio ndio upate hzo mb 200... au wamejichangaya hao airtel na njia haswa ya kuwa trick ni ipi? sio kwamba na kupinga but bali nataka nijui zaidi how can this be possible
 
nilijaribu siku ya kwanza ikakubali,kesho yake nikaongeza salio ili nipige simu nlipoiweka kwenye modem salio likaisha baada ya dk 20 hivi
 
Mkuu ni ya kwl unayoyasema? coz mie nakumbuka offer kama hii ilishawahi kuepo na ilikuwa lazima uongeze salio ndio upate hzo mb 200... au wamejichangaya hao airtel na njia haswa ya kuwa trick ni ipi? sio kwamba na kupinga but bali nataka nijui zaidi how can this be possible
Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
 
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!!
Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima uongeze salio ndio upate hizo MB za bure!Cha msingi ni usijiunge na INTERNET BUNDLE yeyote na hizo 200mb zitakuwa zako kila usiku!!!!!!!
We ikifika saa 6 usiku chomeka modem yako na line ya Airtel na fanya mambo yako!!!!!!!!!!!

Arigato!

Ukisaidiwa,gonga THANKS wajameni!

Arigato gozaimashtaa!
 
Ubarikiwe mpwa! ni kweli hii kitu imekubali.... ndio nashusha vijifile tudogo tudogo
 
Mi nina line zangu 4 za Airtel,jumla napata 800mb kila usiku,maisha rahiiiiisi!Wakati unauliza,mi naendelea kuzitumia!Lol
mkuu we ni kiboko, line nne? ulali? au ndio unakesha ukibadilisha line? teh teh teh! hata hivyo jana usiku nili enjoy kidogo kwa kupata net ya bure japo speed yake haifikiiya tigo ila cha bure ni bure tu...

Aka hapa chini ni ka-speed uchwara ka-offer ya Hewa Tele

attachment.php
 
Attachments

  • Hamia Airtel 2.jpg
    Hamia Airtel 2.jpg
    83.4 KB · Views: 208
Speed yangu ya kudownload ni mpka 180KB/s!Tena mi nashika 3g signal ya bar 1!!!!!!Cha bure raha wakuu,tehh tehh tehh!
 
Back
Top Bottom