Airtel Free Internet (200mb) kila usiku

inakubali ila siku ya pili utachoweka wanakiramba chote. wanalipiza kisasi tehe he hee
 
SIKIONI, KITUFE CHA THANX ila much thax 2 U. Ni mwendo wa kutoboa, wana ISS wananixoma
 
duh hv hii kitu haswa ikoje leo nika amua kufanya upelelezi kidogo na kutwangia customer care... loo.. ama kweli undugulaization kwa wingi maana naona wana upungufu sana na ujuzi wa kazi yao.. wa kwanza nikauliza kuna offer yoyote ya airtel ya internet kaniambia kwani hukupata msg ya offer? nikawambia nigepata ningekuliza nieleze 2 kama kuna offer yoyote au laa... akasema nisubiri kanwekea musiki nika amua kuachana nae.. nikamuliza mwigine akaniambia hii offer ipo sema imekwisha muda na ilikuwa tarehe 1 mpaka 3.. mie nikakubali 2 huku nikicheka kimoyo moyo baada kuwa nilitumia ata leo saa kum na moja mpaka saa kum na mbili.nikakubaliana nae nikakata simu ... bado sikutosheka na kupiga tena sasa huyo kanstajabisha na kunfrahisha kweli na ngoja nihakikishe leo usiku eti kasema kuwa hii offer ipo na.. nikamuuliza ni mb ngap? akasema ni UNLIMITED na unatumia bila kikomo ni wewe 2.. mhh... nikauliza hii offer ni mpaka lini.. akaniambia hawajapanga bado tutambiwa lini mwisho lakini wana mpago uwe mpaka mwezi wa kumi na mbili... hehehe duuh ivi hi kweli ili swala kwa waliotumia hii kitu mie nangoja kwa hamu saa sita ifike nipakue movie za kutosha au kugundua kama nimeingizwa chaka 2.
 
Back
Top Bottom