NakuliliaTanzania
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 555
- 7
..babako akitoka safari[tuseme unamtegemea]hutaenda kumpokea?
..ni suala la jadi na tamaduni,zaidi ya kupoteza muda!
..kwanza bora wakapoteze muda,badala ya kuutumia kutuibia!
Du! Kazi ipo.....