Airport - Karamagi uso kwa uso na Zitto

Karamagi%252BPage-2.jpg


Kama ni picha hapo hata mimi siioni!
 
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto (R), akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi (L) jana uwanja wa ndege wa kimataifa Dar es Salaam Karamagi alifika uwanjani hapo saa 8:00 mchana kwa ajili ya kumpokea Rais Jakaya Kikwete aliyewasili uwanjani hapo kutoka ziarani nchini Marekani, nae Zitto alikutana na Karamagi uwanjani hapo alipokuwa akitokea nchini Kenya alikokwenda kuhudhuria kampeni za mgombea urais, Raila Odinga.,katikati ni waziri wa fedha Zakhia Meghji..


Kuna mahali nimeitoa hii kitu kule Michuzi line, ila bahati mbaya sikuweza kutichukua picha na kuileta hapa! Anyway heshima kwa viongozi wote wawili yaani Waziri Karamagi, na Mheshimiwa Mbunge Zitto, kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa, yaani kukubali kutokubaliana, lakini kuheshimiana kama wa-Tanzania na ndugu moja, umoja na mshikamano wetu imara aliotuachia Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Wananchi tunafarijika sana na huu ustaarabu wenu.

Na sisi pia tuige tabia hizi za kitu-uzima!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom