Bonyeza hapo chini
MICHUZI: YALE YALEEEEE
Nundu na jamaa yake wa TAA hawana habari na hawajali kuwa wanachokizuia ni maiti
MICHUZI: YALE YALEEEEE
Nundu na jamaa yake wa TAA hawana habari na hawajali kuwa wanachokizuia ni maiti
kwa sheria za kusafilisha mizigo kwa ndege, maiti ni mzigo kama mizigo mingine hivyo hao ndugu wanahitaji kujua kuwa documents ndio zinazo tambulisha aina ya mzigo, marehemu alibadili dini akawa mgalatia wao wanadai ni muislam majina tofauti watapewaje mwili wanahitaji wajue taratibu za kutoa mizigo
tunashukulu taratibu zimekamilika wapemba wamepewa mwili wao RIP
tatizo liko wapi si wawasilishe tu Bill of lading ziende TRA waje kufanya assessement ya mzigo waende long room walipie wachukue mziko wao kabla ASCUDA haijawa down..au sijui nimekosea kujibu..
Taarifa haziko sahihi sana, marehemu alikuwa mgalatia akabadili na kuingia Uislamu kabla hajazamia. Hivyo siku zote ilieleweka ni Muislam, kumbe huko alikokuwa alikuwa akitumia jina lake la zamani. Kama alirudia ugalatia au alitamani tu jina lake la zamani ndio haijulikani.kwa sheria za kusafilisha mizigo kwa ndege, maiti ni mzigo kama mizigo mingine hivyo hao ndugu wanahitaji kujua kuwa documents ndio zinazo tambulisha aina ya mzigo, marehemu alibadili dini akawa mgalatia wao wanadai ni muislam majina tofauti watapewaje mwili wanahitaji wajue taratibu za kutoa mizigo
tunashukulu taratibu zimekamilika wapemba wamepewa mwili wao RIP
Taarifa haziko sahihi sana, marehemu alikuwa mgalatia akabadili na kuingia Uislamu kabla hajazamia. Hivyo siku zote ilieleweka ni Muislam, kumbe huko alikokuwa alikuwa akitumia jina lake la zamani. Kama alirudia ugalatia au alitamani tu jina lake la zamani ndio haijulikani.
Nilipoona jina Autopilot nikajua huyu mtu at least anajua mambo ya ndege na viwanja, lakini kumbe kaputi!
Hii mentality kuwa ukitokea ucheleweshaji ni kwasababu ya rushwa?...no no noo..this is too much a joke!
Kwanini unaondolewa uwezekano kuwa sababu zilitokana na upande wa wadai maiti?(ambayo actually ndio real case!!)
Bahati mbaya sana mtu anapeleka post kwa Michuzi, huku haelezi chochote kuhusiana na sababu ya kucheleweshwa maiti yao...hajagusia kabisa story behind delay!
Watu wanaishia kutaja NUNDU , AS IF issue ni ya kiutawala wa mamlaka, kumbe wao ndio wamesababisha ucheleweshaji!
Acheni uswazi wa kukimbilia kwenye media, ulalamishi utawasidia nini?