Airbus A380 kwa mara ya kwanza imetua Tanzania uwanja wa JNIA

Screenshot_20180424-171904.jpg
 
Aisee! wamejitahidi sana,kwa watu wanaosafiri sana wanaijua hii ndege huwa tunaenda kuipandia Beijing...huku huwa tunaambiwa uwanja mdogo leo imetua!
Huku sio uwanja mdogo.Ila hawana route ya kuifanya kuja huku.Hayo ni maneno tu ya watu wasiojua masuala ya ndege.
Hata ingekuwa ndege aina ya Antonov 255 Mrina, ingetua tu.Na ndio ndege kubwa kwa sasa duniani.Ni ndege ya mizigo.
 
Antonovu Mrina au Annex Mrina pale kaloleni arusha?
 
A380 imetua JNIA kwa dharura kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya huko Mauritus ilikokuwa ikielekea.

---------
Ndege kubwa aina ya Airbus A380 mali ya Shirika la Ndege la Emirates imetua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) uliopo jijini Dar es Salaam, baada ya kushindwa kutua Mauritius kutokana na hali mbaya ya hewa.

Emergency landing
 
Back
Top Bottom